@Arch OAK fuata ushauri wa
Youngblood kuwa na masters haikuzuii kuomba Kazi ya undergraduate. Narudia Tena
kuwa na masters haikuzuii kuomba Kazi ya bachelor Nina ushahidi juu ya hili ndio maana naweka msisitizo. Pia jua kwamba nida ikishatumika kufungua account moja haiwezi kufungua account nyingine.
Tatu, tatizo ulilonalo ni aina ya picha unayojaribu kuiweka haipo compatible na system ya PSRS. So nenda google type image resolution then ifanyie adjustments accordingly