JKU na KMKM zimeundwa kinyume cha sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JKU na KMKM zimeundwa kinyume cha sheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Ngereja, Jul 25, 2008.

 1. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Baada ya kusoma hukumu ya majaji wa mahakama ya rufaa katika kesi ya S.M.Z. vs. Machano Khamis Ali & Others (Criminal Application No. 8 of 2000) [2000] TZCA 1 (21 November 2000)
  IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA
  Majaji hawa wanasema jeshi la kujenga uchumi pamoja na kikosi maalum cha kuzuia magendo, maarufu kama KMKM vimeanzishwa kinyume cha sheria na kuwepo kwavyo ni uvunjaji wa katika ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sehemu ya hukumu hiyo inasema hivi:

  "...Mr. Mbwezeleni argued that the raising of the Jeshi la Kujenga Uchumi and Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo, both of which are paramilitary, is a violation of Article 147 (2) of the Union Constitution. That Article permits the Government of the United Republic only to raise and maintain military forces of any kind."

  Pia katika maelezo ya hukumu hiyo, inasema hivi,

  "....There shall be a Head of the Revolutionary Government of Zanzibar who shall be the President of Zanzibar and the Head of the Revolutionary Government of Zanzibar and also the Chairman of the Revolutionary Council of Zanzibar. (Emphasis supplied).

  "...It is significant to note that that Article categorically provides for the Head of the Revolutionary Government of Zanzibar and not for the Head of State of Zanzibar even though this Head of the Revolutionary Government is also titled the President of Zanzibar. This clinches the debate and drives home the fact that Zanzibar is not a state, not only in international law but also under the Union Constitution. Louis XIV of France bragged: "the State is me". In the like manner, here at home, the unflinching legal position is that "the State is the Union..."


  Nadhani mjadala wa Zanzibar ni nchi au siyo nchi umeelezwa kwa kina katika hukumu hii ya mahakama ya rufaa. Tuendelee kujadili>.
   
 2. m

  mkombosi Senior Member

  #2
  Jul 25, 2008
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OOOOOOOOOOOOOooooohhhhh

  Usipoteze muda na wazenj

  watakacho wao ni kujitenga,swala la nchi ni njia tuu ya kufikia hukoooooooooo.

  Wito:wazenj jitengeni mapema,siwatakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
Loading...