Kwa hali halisi ya kambi za mafunzo hawawezi kurudi wote kwa pamoja,wanaweza kutofautiana hadi siku 10...utofauti huu unatokana na uhaba wa bendi za kupiga kwata ya kiapo (kwata ya mwisho)..nasikia kundi la kwanza ruvu jkt wataapa trh 27 so kundi la mwisho linaweza kurudi mwanzoni mwa mwezi wa 10

Poti hawana wema wale wamekula minyama ya jeshi buree...inabid tukikutana nayo chuoni ni DOSO kuroll,kucraw,beba dunia,piga cm,jambo afande za kutosha mpaka wajute kwanini waliangushia