JKT wasimamie mitihani ya taifa (NECTA)

JKT wasimamie mitihani ya taifa (NECTA)

Usisahau kuwa Askari wa JKT nao no binadamu kama wewe mkuu.
 
Umenigusa wakati nikiwa Geita Secondary School 1998 Kapuya akafuta mtihani kwani ulivunja hadi ukawa unabandikwa kwenye nguzo za umeme. watu tukaandaa nondo za kutosha 1999 na bado kikaeleweka


mkuu nilikuwa sengerema ..tulipiga paper 1999 badala ya 1998
 
Naanza kwa kuweka wazi shule za jumuiya ya wazazi ambazo huajiri walimu wasio na sifa. (Kati ya wanaowaita walimu 15 utakuta walimu halali wenye vyeti vya ualimu ni wawili au watatu).

Usimamizi wa mitihani yao umuulikwe zaidi.
Weka na shule zote za private
 
Back
Top Bottom