FT: JKT Tanzania 0 - 2 Azam FC | NBC Premier League | Meja Jenerali Isamuhyo Stadium | Mei 21, 2024

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
156
584
1716303339090.png

Leo Mei 21, 2024, JKT Tanzania itacheza mchezo wake dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni.

KIla timu inapambana kutetea nafasi yake lakini zaidi Azam wakitafuta kusalia kwenya nafasi ya pili ili washiriki michuano ya kimataifa msimu ujao.

Yetu macho, tukutane saa 10:00 Jioni.

1716303386161.png

Kikosi cha Azam kilichoanza
1716303488208.png

Kikosi cha JKT Tanzania
 
Kama kuna mtu anafikiri Azam wanaweza chukua nafasi ya pili anapoteza muda wake. Matajiri wa Azam wanajua Azam ikicheza Champions league biashara itashuka, vile vile hawatafika popote. Kwa hiyo ni "kujivunja" tu.
Ficha ujinga wako mkuu
 
Kama kuna mtu anafikiri Azam wanaweza chukua nafasi ya pili anapoteza muda wake. Matajiri wa Azam wanajua Azam ikicheza Champions league biashara itashuka, vile vile hawatafika popote. Kwa hiyo ni "kujivunja" tu.
Simba nao wanaitaka nafasi ya 3 kwa udi na uvumba ,wamechoka kuishia robo finali
 
Kama kuna mtu anafikiri Azam wanaweza chukua nafasi ya pili anapoteza muda wake. Matajiri wa Azam wanajua Azam ikicheza Champions league biashara itashuka, vile vile hawatafika popote. Kwa hiyo ni "kujivunja" tu.
Azam FC sio Azam media kama ni taasisi moja uniambie kwanini wamedhamini ligi ambayo na wao wanashiriki
 
Back
Top Bottom