JKT leo asubuhi tumepewa pass mpaka Jumanne

JKT leo asubuhi tumepewa pass mpaka Jumanne

kwa hyo pass rudi wiki moja kabla ya kumaliza, hakuna tatzo, sasa we lala ulaliwe
 
machungwa tulikula yote kipindi tunafika ila mengine yamechomoza pia intake yetu tumeanzisha shamba la migomba(migomba 5000) kule komsanga hvyo watakaokwenda intake zingine watakula na ndizi pia.mm n bravo coy

Ebana me nilikuwa a.coy,op muungano afande kefa yupo b.coy
 
Kuruta umepewa pass unapata wapi mda wa kuandika humu jf? kweli mdebwedo sana .
 
MAMbo si kitoto,6 weeks ni nouma aisee.wapi madoja na style yao ya vasco dagama,wapi kimbinyiko,wapi komsanga na genda genda,vp ile mvua ya juzi pamoja na na ile ya siku ya intro? (kurutu leo tunawapa pass muende mkaapply chuo j4 mrudi ila mkiwa safarini kwenye bus kuruta huruhusiwi kulala na kula njiani waziiiiiiiiii makuruta wote;wazi afande

Msisahau Tu Pia Na Kupima HIV.
 
Mambo si kitoto,6 weeks ni nouma aisee.

Wapi madoja na style yao ya vasco dagama,wapi kimbinyiko,wapi komsanga na genda genda,vp ile mvua ya juzi pamoja na na ile ya siku ya intro? (kurutu leo tunawapa pass muende mkaapply chuo j4 mrudi ila mkiwa safarini kwenye bus kuruta huruhusiwi kulala na kula njiani waziiiiiiiiii makuruta wote;

Wazi afande!

835 kj mgambo jkt,,,.op miaka 50 ya muungno mujibu wa sheria kund la kwanza,,..chalee coy,,,.mwaka jana hyo nilkua pand hzo,,,..cta sahau komsanga endless shamba
 
kuruta amerudi kambini waziii.....wazi afandee.
 
Back
Top Bottom