Una matatizo ya kutoijua nchi yako na taasisi zake za ulinzi, jkt ni chombo kinachotengeneza walinzi wa nchi hii na kutoa elimu za ujasiriamali kwa vijana, na hicho ndicho tunachokitafuta hasa swala la kilimo ,kwa hiyo uelewa wako mdogo sana,tumia smartphone uliyonayo kudadisi nchi yako ilivyo mkuu,sio unapotosha kuwa jkt inadhohofishaunaacha kufikiria mambo ya maana saivi wewe unawaza kitu kitakachoo kudhoofisha.