Huyo dada atapona "tamaa" za afande ...? Maana nakumbuka enzi hizo, afande akimtaka binti mzuri na akagomewa basi atampa adhabu za mara kwa mara akitarajia kuwa binti atabadili msimamo!
Ila wapo waliovumilia adhabu hizo na wakamaliza "salama" yaani bila kwenda "Mkokoa Guest House"