The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Kwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
Tumia busara kumjibuMTUKwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
Acha unanga...Kwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
ndo tuwe tunapean maujanj basi maan ushatanguliaDogo pambana utapata nafasi.. Karibu 838kj full shumbwela.
Kuna dogo mmoja yupo jkt ndo mkataba unaisha mwezi wa 11 naogopa hata kumpigia simu ataona namuenjoy tu!Hiyo Hbr ya kuongezwa miezi mingine 6 mkuu haina uhakika bado ni Lonja tuu, ila hbr iliyopo watu wanajaza detail zao kuhusu maeneo walikotokea ili serikali iwaandalie nauli zao tayari kwa Kurudi home mkuu, ila wacha tuombe wana wasalimike coz watu wamejila sn na kupoteza time wakitarajia ajira lakini matokeo yake inaelekea kuwa utata tupu
msalimie sana afande ngindoDogo pambana utapata nafasi.. Karibu 838kj full shumbwela.
Hyo four umeona umefaulu hapo ? Si ungeendelea n shule
SM ambae uliangushia kozi unajulikana tu we hata kwenye kwata utakuwa ulikua KODogo pambana utapata nafasi.. Karibu 838kj full shumbwela.
Vijana wanajisahau sana,.SM ambae uliangushia kozi unajulikana tu we hata kwenye kwata utakuwa ulikua KO
Usidanganyike suala la mkataba bado hawajapewa halafu wewe mkuu nini maana ya Ronja?mkuu mkataba unaweza umeongezwa kwa op magu miez sita mingine nmepata ronja kutok kwa jamaa yangu yupo chomboni
ronja ni taarifa zisizo rasm za kijesh mkuuUsidanganyike suala la mkataba bado hawajapewa halafu wewe mkuu nini maana ya Ronja?
Umezijuaje kama haupo jkt?ronja ni taarifa zisizo rasm za kijesh mkuu
ishia apo mkuu hain haja ya kujuzan zaidi maan yake ndo hiyoUmezijuaje kama haupo jkt?
Jibu swali mkuu mbona unakimbia ?ishia apo mkuu hain haja ya kujuzan zaidi maan yake ndo hiyo
Upo mkoa gani naona unatia huruma sananna kila cheti mkuu kuanzia birth certificate mpak fom four umri pia n poa tuombe Mungu tu
pwaniUpo mkoa gani naona unatia huruma sana