Bonyobonyo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 226
- 233
Achana na dhana potofu kua wote wanaokwenda vyombo vya usalama ni failures ,,wakuu kwema
huu ni uzi spesheli kwa wale wenzang na mimi tuliokumbatia magamba yetu ya division mbalimbal bnafsi gamba langu linasoma division 4 ya 26 hap tupeane ronja mbalimbal na apdates kuhus jkt kwa mwak huu japo inajulikana wazi kuwa kwa sasa nafasi hizi kuzipata ni bahati ya ngekewa
naomba kuwasilisha
wapi umeon nikisem jeshi nI kwaajil ya failure hebu muwe mnasom kbla ya kucoment upuuz ap shubamitAchana na dhana potofu kua wote wanaokwenda vyombo vya usalama ni failures ,,
lakin mkuu mwak jan ilikua mwez huu mwshoniMkuu mambo bado mpaka mwez ujao mwishoni
au sio sasa matajiri mnatafut nin kweny nyuzI za maskini si ukaanzish yako ya matajir usiwachukulie watu kam unavoon id zao apa jf siku nyngn fkiria kidog kabl ya kuandik hik kinyesi cha mbwa heshimu uzi za wengnKwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
Brother hakuna mahali nimekuzarau tatizo lako una future ya kimasikini nukta.au sio sasa matajiri mnatafut nin kweny nyuzI za maskini si ukaanzish yako ya matajir usiwachukulie watu kam unavoon id zao apa jf siku nyngn fkiria kidog kabl ya kuandik hik kinyesi cha mbwa heshimu uzi za wengn
Hyo four umeona umefaulu hapo ? Si ungeendelea n shulewapi umeon nikisem jeshi nI kwaajil ya failure hebu muwe mnasom kbla ya kucoment upuuz ap shubamit
Usijari mkuu watatangaza.wakuu kwema
huu ni uzi spesheli kwa wale wenzang na mimi tuliokumbatia magamba yetu ya division mbalimbal bnafsi gamba langu linasoma division 4 ya 26 hap tupeane ronja mbalimbal na apdates kuhus jkt kwa mwak huu japo inajulikana wazi kuwa kwa sasa nafasi hizi kuzipata ni bahati ya ngekewa
naomba kuwasilisha
Bajeti tunanunua wapizani,relilakin mkuu mwak jan ilikua mwez huu mwshoni
Kwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
Unatumia vigezo vipi kupima "future" ya kimasikini na ya kitajiri? . (by the way unamaanisha nini unaposema neno "future" kwa muktadha huu?Brother hakuna mahali nimekuzarau tatizo lako una future ya kimasikini nukta.
mkuu kuendelea na shule inawezekan komb yangu ilibalance vzur kabsa tatizo hal ya maish anyway ncjielez sanaa nyie wasomi someniHyo four umeona umefaulu hapo ? Si ungeendelea n shule
mkuu mkataba unaweza umeongezwa kwa op magu miez sita mingine nmepata ronja kutok kwa jamaa yangu yupo chomboniBado ,Labda wataanza Usaili mwisho wa mwezi wa 11,
Ila Jkt ya sasa vyuma vimekaza sana coz saivi watu wanaenda wanapigishwa mzigo weeee miaka miwili y'a mkataba ikiisha zaidi ya nusu ya watu mnaweza jikuta mnarudishwa home unarudi tena kuanza maisha ya kitaa so mi nawashauri muangalie na vitu Vngn vya kufanya coz kule nako ckuhizi ajira bado yakubahatisha, kuna tetesi nyngn kuwa op magu watarudishwa baada ya mkataba kuisha mwezi ujao