JK's Popularity On Twitter

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Nimekuwa mbali na jamvi kwa muda najua watoto wapya wamezaliwa na wengine wameondoka.Toka jana usiku profile mpya ya JK Twitter imekuwa inaongezeka kwa kasi,katika usiku mmoja amepata followers zaidi ya mia moja.

Gonga hapa;
Twitter

Note:Nasubiri maoni nifanye conclusion kama jamvi lina kizazi kipya,cha zamani au mchanganyiko.

Karibuni Tandale.Ukifika sokoni ulizia Super Fruits Kiosk.
 
...........Uwa situmii mitandao ya Kisharobaro..........
 
Kama ushauri kapewa hapa jf basi ni hatua nzuri maana hata mafisadi atawaumbua
 
Nadhani ni dalili nzuri za usikivu. Kilicho baki ni yeye JK kukabidhi nchi ili asije inajisi zaidi, aendelee kuwa msikivu zaidi.
 
HIVI HUYU MZEE MUDA WAKE WOTE KWENYE INTERNET ANAFANYA KAZI SAA NGAPI????WASWAHILI BWANA,LABDA MUDA MWINGI ANAKUWA KWENYE PORN FOTOS:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:
 

hiyo post niliiweka last week, nafikiri washauri wake wanapitapita humu ndani ndio maana tunaona mabadiliko haya, ASANTE RAIS KWA USIKIVU, NASHUKURU TUTAKUA TUNAPATA UPDATES
 
JF kweli kiboko, sasa umshauri basi afungue saluni ili watu wakija wawe wanapewa somo ili wachukue kadi
 
huu ushauri kapewa toka hapa hapa JF / jamani JF kweli ni kiboko, wamemwambia JK kuhusu twiter jus last week tu
Sure nilipost last week, Seems JK ni msikivu, On a serious note, kama ataitumia twitter fresh itarahisisha sana kupata feedback moja kwa moja kutoka kwetu na sie tutakua tunapata updates live kutoka kwake, sio hadi zichakachuliwe na wasaidizi wake. Wapo viongozi wengi sana wanatumia twitter sasa hivi, britain kuna kampeni ya kumshawishi prince william ajoin twitter, nimeona updates mara kwa mara katika account ya JK, GREAT MOVE!
 
HIVI HUYU MZEE MUDA WAKE WOTE KWENYE INTERNET ANAFANYA KAZI SAA NGAPI????WASWAHILI BWANA,LABDA MUDA MWINGI ANAKUWA KWENYE PORN FOTOS:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:
Mmmh! Sidhani kama ni muda wote anakuwa kwenye intanet, ni namna tu ya kupangilia ratiba!
 
Hongera sana Mhe Kikwete sasa tayari wewe ni maarufu sana na nchi kuweza kutawalika vizuri zaidi bila kujali kama wanaojitokeza huko kwenye Twitter kukufuatilia wanataka tu kuona jinsi ULIVYO KITUKO CHA AJABU sana kiutawala wa taifa lwtu!!!

Na kwa mtaji wa huo umaarufu mpya, itabidi wengine twende tukaiombe African Union wakuazime kidogo uende kuleta amani kwa Alhaji Qadhafi kule Libya sawa sawa jinsi ulivyoweza pia kumsaidia Rais saana Gbagbo kule Ivory Coast.

 
HIVI HUYU MZEE MUDA WAKE WOTE KWENYE INTERNET ANAFANYA KAZI SAA NGAPI????WASWAHILI BWANA,LABDA MUDA MWINGI ANAKUWA KWENYE PORN FOTOS:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:
mimi huwa nasemaga utumbio na rev anasema Crap
huu ni utumbo pure.
unaturudisha kwenye ujima
 
...........Uwa situmii mitandao ya Kisharobaro..........
uko nyuma sana dogo, wewe ni mshamba na hauko exposed

Dunia inaenda speed sana, mitandao isiyo ya kisharobaro ambayo we unatumia ni ipi sasa, JF? hahahahaaa hata JF wako kwenye twitter na wana-mfollow JK, Obama, Kagame na watu wengine kibao...shtuka dogo dunia inaenda speed balaa, sasa hivi otganisations kubwa kama IDF, BBC, CNN pamoja na miguvu yao wanatumia twitter, unajua kwa nini? huko ndio dunia inakoelekea, people are depending more more on twitter for instant updates
 
HIVI HUYU MZEE MUDA WAKE WOTE KWENYE INTERNET ANAFANYA KAZI SAA NGAPI????WASWAHILI BWANA,LABDA MUDA MWINGI ANAKUWA KWENYE PORN FOTOS:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:

duh! wewe ni TOPTHINKER? kutumia twitter haimaanishi kuwa anashinda kwenye internet masaa yote, wala kujua yanayoendelea kwenye mtandao haimaanishi anashinda muda wote ktk internet, with nowadays advanced PDAs and Smartphones ni rahisi tu kuwa na simu nzuriinayokua procted vizuri na akawa anatweet on the move.

Hebu fikikiri ule muda anasafiri kwenda Bagamoyo kama yuko connected si anatupia tu tweet mbili tatu nasi tupate kujua yanayojiri, au anaingia JF kucheck check michakato ilivo, hii itamsaidia kuwa close na wananchi, unajua hizi taarifa za kuletewa mezani tu sio poa, nyingine inabidi awe anazipata straight from street na internet is the real deal for this.
 

its 4real mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…