Hivi inakuaje pale JKCI unatozwa viwango tofauti vya kumwona daktar kutokana na kifurushi cha bima, mfano ukiwa na kifurushi cha bima cha juu wanakutoza 100,000/= ukiwa na bima kifurushi cha chini wanakutoza 60,000/= je hii sio kuumiza wananchi au ikoje!?
Makato ni ya juu halafu unaingia kwa mtaalam yuleyule ambaye hapo awali ulimuona kwa 60k