kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Feb 10, 2012 #21 Shine said: Sasa hana ujanja hazina imenuna Click to expand... mwanaharamu anaweza kukopa tena kwenye benki za kibiasha kwaajili ya safari za nje
Shine said: Sasa hana ujanja hazina imenuna Click to expand... mwanaharamu anaweza kukopa tena kwenye benki za kibiasha kwaajili ya safari za nje
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Feb 10, 2012 #22 vasco da gama
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,793 Reaction score 7,173 Feb 10, 2012 #23 yaani ikulu haifagiliwi mpaka wageni wanapiga picha kwenye taka kama kariakoo?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,089 Reaction score 75,526 Feb 10, 2012 #24 Ameahirisha kutokana na ule ugonjwa wake wa kuanguka, tarehe ziliingiliana.Kifafa kibaya sana
J JR LEO Member Joined Feb 8, 2012 Posts 18 Reaction score 4 Feb 10, 2012 #25 jamani ikulu inafagiliwa lakini wakati wanenda kwa photo kulikuwa na upepo ukadondosha hizo taka
R rombo Member Joined Apr 10, 2011 Posts 47 Reaction score 4 Feb 10, 2012 #26 hakuna tofauti wa haya mnayoyaongea na yale yanayoaandikwa kwenye magazeti ya ijumaa na uwazi plus kiu,mods hizi hoja za kimbea muwe mnazihamishia kwenye page ya umbea.
hakuna tofauti wa haya mnayoyaongea na yale yanayoaandikwa kwenye magazeti ya ijumaa na uwazi plus kiu,mods hizi hoja za kimbea muwe mnazihamishia kwenye page ya umbea.