apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
.. hata hayo mataka waliyokanyaga (tena mbele ya lango kuu la ikulu) wahusika hawakuyaona? ni ushahidi kwamba uwajibikaji koote ni zero
jamani swali la kizushi...hivi kuna kitu baba mwanaasha anapenda kama kupiga picha??
Baba mwanaasha hawezi kwenda sehemu tr 12 si ana kikao dodoma