JK yu wapi?? Habari za kutatanisha!!

Atakuwepo kwenye mazishi ya jenerali, akitokea kwa mfalme mwezake mswati.
 
Prezida! Mlidhani sharobaro ni mkulima wa mbarali? Subirini 2015 kama mmepata akili
 
Wengine wanasema yu bado Brazil.

Wengine wanasema yu Malawi.

Wengine wanasema ..........................!!!!

Nijuze tafadhalini

Sipendi mtu kufa na kwa kawaida simtakii mtu kifo ila m.k.w.e.r.e akifa wala sitasikitika (kama ambavyo sikusikitika alipokufa Idd Amin).Mungu mwenye rehema na anisamehe kwa hilo, lakini kikwete anastahili kwenda The Hague!
 
Back
Top Bottom