JK watupeleka wapi - Hizi njaa zitatuua

umeishiwa kweli siku hizi....yani unataka kuwa kama Lyatonga Kiraracha marangu mtoni Mrema.
 
Hujasomekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani tuna njaa mpaka Cheka na Matumla wanaamua kuomba pambano wapate chochote kuipoza njaa
 
hivi huyu matumla nikikusanya nguvu zangu zote nikamla ngumi si chini tu mara moja mbona kakonda hivi jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…