Kwa hali iliyopo sasa nchini,
huna budi kusema Rais hana wasaidizi kabisa,
kwani mambo hayaeleweki na hao wasaidizi hakuna wanachokifanya kumsaidia JK[/QUOTE
Rais anatakiwa kuwa mtu wa kuchukua hatua na si kusaidiwa. Rais wetu si juha kusema hawezi kufikiria. Hivi ata kulipa DOWANS ili watanzania wafe nayo rais anahitaji kusaidiwa hapo?
sasa unauliza nini,
bila shaka majibu unayo wewe mwenyewe, au
unataka tuseme useme ni wapinzani hao.
nchi ipi uliwahi kuona Rais anajifanyia mambo yake mwenyewe bila washauri ni kama na wewe umedanganywa na mwalimu aliyekufundisha somo la uongozi
Sitaki kuamini kuwaa Rais wetu yuko hivi.wote waliokusanyika ni kwa sababu ya njaa kali. kukosa riziki ni jambo baya sana akili yako inaweza kuchezewa kama mpira
sura za wafuasi wa chadema zinaonekana kuwa na njaa kali ni rahisi kuyumbishwa hata kama njaa yao sio ya kusababishwa. kuna njaa za aina mbili ya kujisababishia na kusababishwa
wapambe wana haki ya kumdanganya lakini washauri hawawezi kumdanganya
Urais ni taasisi Bro/sis
Kwami huyu Mh. hasomi magazeti au hata baadhi ya taarifa za habari haangali, ina maana hata taarifa za habari huwa anasaidiwa kuangaliziwa kisha anachambuliwa zilikua zinasemaje?? Japo vyombo vyetu vingi vya habari hazipo wazi na huru, ila kwa kiwango hicho hicho vimeweza kuchora picha nzima ya maisha duni na hali mbaya za watanzania ina maana yeye hazioni kupitia vyombo hivyo???
Sijapata kuona rais muongo kama JK, aliwadanganya watu wa goms mabomu kuwa mtalipwa punde tu akaapa sasa hivi anakula kuku kasahau, ahadi nyingi harafu anateleza. Harafu kila siku mnasingizia wasaidizi wake. MIMI niliwahi kusikia kuwa JK si wasaidizi ila anataka kusikia anachotaka yeye tu na kufanya anachopenda yeye tu. na ndo maana wasaidizi wanampa anavyovitaka.