Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 256
Nimekuwa nikifuatilia wapambe, makada na viongozi wa CCM hasa kunapo kuwepo matatizo nchini mwetu
wakisema kwa unafiki kuwa wasaidizi wa rais hawamshauri vizuri. Wengine wanadiriki ata kusema kwa mambo madogo ambayo JK naamini anaweza kufikiria mwenyewe, "kinachomwangusha rais ni wale wanaomsaidia" huu ndo wimbo tuliouzoea.
Swali la kujiuliza ni je, rais Kikwete hawezi kujifanyia kazi mwenyewe?
Akizifanya mwenyewe ndohapo inapofikia wakati ANAPIGA TIKITAKA majukwani, wasaidizi wake wameshamjua ni mzee wa kuchakachua hivyo nao wanamchakachua ili watimize masilahi yao binafsi. Hapo ****** anajisikia furaha sana.Nimekuwa nikifuatilia wapambe, makada na viongozi wa CCM hasa kunapo kuwepo matatizo nchini mwetu
wakisema kwa unafiki kuwa wasaidizi wa rais hawamshauri vizuri. Wengine wanadiriki ata kusema kwa mambo madogo ambayo JK naamini anaweza kufikiria mwenyewe, "kinachomwangusha rais ni wale wanaomsaidia" huu ndo wimbo tuliouzoea.
Swali la kujiuliza ni je, rais Kikwete hawezi kujifanyia kazi mwenyewe?
Tatizo watu wanavuta bange bila kula si muwaambie wawaletee hata uji sio mibange tu hapo uwanjani mmevuta usiku kucha angalia misokoto mingapi imekamatwa kwa wale waliokamatwa na askari wakutuliza ghasia hapo NMC
Mimi tatizo kwangu ni jinsi mnavyomuita Jakaya Mrisho Kikwete kuwa eti ni jk...... Jk vipi wakati hata majina yenyewe hayafanani???????? Au mna maana gani kama sio jiki, joka, jike, jaka, jeki, .....???? Nijuzeni maana halisi. Tafadhali sana nataka kujua.....
Labda kashikiwa akili!