Jumanho
Member
- Sep 14, 2010
- 37
- 5
Acheni kukurupuka wakati mwengine, hebu tuwafikirie na wale wanaovunjiwa bila ya kulipwa wakati mtu ameishi hapo kwa zaidi ya miaka 15. Mi sidhani kuwa waziri mzuri ni lazima ufanyekazi kupitia vyombo vya habari baraza la mawaziri lina mawaziri wangapi, lakini kila kukicha ni mmoja anaetokea kwenye vyombo vya habari kana kwamba wenzie hawafanyikazi. Tusiwe kama bendera tu, sie kazi yetu kufuata upepo, hapana. Tuweke itikadi zetu pembeni kwenye hili, waziri wa ujenzi alichemka na wakuu wake walistahili kumuweka kwenye njia sahihi kwa manufaa ya nchi na wananchi wote kwa ujumla.