JK unakumbuka hii?

JK unakumbuka hii?

usawa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
454
Reaction score
154
Kinachotokea CCM saivi chanzo ni JK, CCM kuna kutoelewana kwa asilimia kubwa haijawahi kutokea toka chama kiundwe.

1. JK uliruhusu bunge maalum la katiba kuwe na wawakilishi wa WACHAWI/WAGANGA WA KIENYEJI ila ukawanyima muwakilishi MAKANISA YA KIROHO, walikuomba sana ukawakebehi na kuwadharau viongozi hao wa kilokole, Wakaona solutuon ni kufunga na kumlilia Mungu baba, na maombi yao yalikuwa tunawachanganya lugha CCM Wasielewane kama kwenye mnara wa BABEL!

2. Kuna mgogoro uliingia na askofu Kakobe japo TANESCO ndo walihusika akakuandikia barua ila ukamdharau, Akakujibu kwa barua kuwa wataomba maombi ya kuwachanganya lugha msielewane ndani ya CCM.

Maombi haya yamefanikiwa hata juzi tuliona kwenye vikao vya NEC na bado hali hyo inaendelea.

Siku nyingine ujifunze kutowadharau watumishi wa Mungu.
 
bado mnamuuza kakobe?........
bosi wako kakobe mwenyewe kaamua kutulia kwani siasa hazitabiriki sikuhizi
 
Heheheeee....huu mwaka kuna matukio mengi sana,
kila mtu ataibuka na lake...kesho atakuja gwajima naye
 
kama humkubali/humtaki lowasa KULA MALIMAO RUBII

Lowasa tenaaa???
kutoka kwa katiba wapiga tunguli, walokole, kakobe mpaka kwa lowasa???
Mbona ni OUT OF TOPIC my dear
HATA HIVYO:
Nampenda babu lowasa masai mwenzangu
 
kinachotokea CCM saivi chanzo ni jk, ccm kuna kutoelewana kwa asilimia kubwa haijawah kutokea toka chama kiundwe....
1..JK uliruhusu bunge maalum la katiba kuwe na wawakilishi wa WACHAWI/WAGANGA WA KIENYEJI ila ukawanyima muwakilishi MAKANISA YA KIROHO, walikuomba sana ukawakebehi na kuwadharau viongozi hao wa kilokole, WAKAONA SOLN NI KUFUNGA NA KUMLILIA MUNGU BABA, na maombi yao ilikua ni TUNAWACHANGANYIA LUGHA CCM WASIELEWANE KAMA ILIVYOKUA KWENYE MNARA WA BABEL!
....2..kuna mgogoro uliingia na askofu kakobe japo tanesco ndo walihusika akakuandikia barua ila ukamdharau, AKAKUJIBU KWA BARUA NYINGNE KUA wataomba maombi YA KUWACHANGANYIA LUGHA MSIELEWANE NDANI YA CCM,.maombi haya yamefanikiwa hata juzi tuliona kwenye vikao vya NEC na bado hali hyo inaendelea
SIKU NYINGNE UJIFUNZE KUTODHARAU WATUMISHI WA MUNGU

Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe
 
kinachotokea CCM saivi chanzo ni jk, ccm kuna kutoelewana kwa asilimia kubwa haijawah kutokea toka chama kiundwe....
1..JK uliruhusu bunge maalum la katiba kuwe na wawakilishi wa WACHAWI/WAGANGA WA KIENYEJI ila ukawanyima muwakilishi MAKANISA YA KIROHO, walikuomba sana ukawakebehi na kuwadharau viongozi hao wa kilokole, WAKAONA SOLN NI KUFUNGA NA KUMLILIA MUNGU BABA, na maombi yao ilikua ni TUNAWACHANGANYIA LUGHA CCM WASIELEWANE KAMA ILIVYOKUA KWENYE MNARA WA BABEL!
....2..kuna mgogoro uliingia na askofu kakobe japo tanesco ndo walihusika akakuandikia barua ila ukamdharau, AKAKUJIBU KWA BARUA NYINGNE KUA wataomba maombi YA KUWACHANGANYIA LUGHA MSIELEWANE NDANI YA CCM,.maombi haya yamefanikiwa hata juzi tuliona kwenye vikao vya NEC na bado hali hyo inaendelea
SIKU NYINGNE UJIFUNZE KUTODHARAU WATUMISHI WA MUNGU
Mungu ataisambaratisha ccm zaidi ya alivyoisambaratisha baabeli na watu wote waseme amina.
 
mungu ibariki ukawa
 
Mungu ataisambaratisha ccm zaidi ya alivyoisambaratisha baabeli na watu wote waseme amina.

usimusishe Muumba kwa hawa waongo wabinafsi........mtatunga theory kibao....all in all hatutaki ya umwagaji damu kisa kulazimisha mabadiliko.....shame on y'all who believe in blood shed...tena shameeeee...this mamvi hata akishindwa oct...bado atafosi kwa vurugu..sasa who will fight ..ni nyie makabwela yeye ana fight akiwa nyumban kwenye sofa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom