Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 894
Ganesh,Thank you Game Theory for this post.
Siku ile ya kwanza nilipofika[Manhattan] New York,nilitoka nje usiku kutafuta chakula,usiku saa tano. Nikamwuliza jamaa mmoja anieleze wapi pa kupata chakula,akaniambia yeye ni mtalii kutoka Ufaransa,hana hakika,lakini akanipa maelekezo kidogo.
Halafu nikamwambia,"Unataka Ufaransa sio? Nieleze kuhusu Sarkozy,pale kwanza alipochaguliwa alikuwa na maneno mengi ya kusema,lakini siku hizi yuko kimya sana,kwa nini?''
Akasema."Ah,yule Sarkozy,anaongea tu maneno mengi,halafu hafanyi kitu chochote cha maana. He is the shame of France. But he has got a beautiful wife.''
This person was just jibing at his President,lakini I think he has affection for his leader.''
Halafu it was very interesting that day,baada ya kutembea kidogo,nikakingia katika mgahawa fulani,na kuagiza chakula. Nikaona watu wote pale wananitazama kwa macho makali. Nikawaambia,''I am sorry every one,I did not know that this was a restaurant only for the Chinese.'' Mtu mmoja pale akanijibu,''We are not Chinese,we are Japanese.''
Working up a sweat: France's President Nicolas Sarkozy jogged along Madison Avenue ahead of his appearance at the U.N. climate summit
Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/wor...k-ahead-U-N-climate-summit.html#ixzz0RsSdrHR4
baada ya mazoezi...prezidaa ameingia Ukumbini anamwaga sera
wewe ni rais kijana na ulikuwa MWANAJESHI sasa hivi bi Salma amezidisha ma pocho pocho umekuwa na Kitambi mpaka unaboa
Comrade JK ukikutana na viongozi warefu kukuzidi basi usisahau kusimamia vidole kama mwenzako Sarkozy hapa chini.
Comrade JK ukikutana na viongozi warefu kukuzidi basi usisahau kusimamia vidole kama mwenzako Sarkozy hapa chini.
Mwanaume akiwa na kitambi inabore.
du!
njemba ina mguu wa ukweli!
Mwanaume akiwa na kitambi inabore.
wewe ni rais kijana na ulikuwa MWANAJESHI sasa hivi bi Salma amezidisha ma pocho pocho umekuwa na Kitambi mpaka unaboa
Tazama Sarkozy leo mchana kweupeee anapiga jog wakati yupo kwenye mkutano wa UN ambao JK naye ame attend
Lakini kinachoudhi zaidi ni yule BG wa JK ambaye naye ni kibonge na anakitambi utafikiri nini
kazi kwako JK acha uzembe ingia GYM..mkulu, na kama unaona GYM miyeyu basi ukiokea Ikulu ukazunguka Ocean Road Mpaka Seaclif na kurudi uwongo kitambi kitaondoka hicho