Majibu
1. wajadiliane nini wakati kila kiongozi na wizara zinajua ifanye nini na tayari wanafanya..mbona unauliza kama vile hakuna kinachofanyika au ni uvivu wako kuona na kupima?
2. Maoni ya nini wakati kuna election manifesto inatekelezwa hatua kwa hatua na ndio direction, maoni yanafanyika wakati wa uchaguzi sasa hivi ni utekelezaje? uchaguzi umeisha watu wana chapa kazi nchi haendeshwi kwa maoni..unafikiri ni family business hii..election manifesto imetekelezwa for almost 70% fungua ukurasa wa manifesto uone
3. Unafikiri rais kufuatilia ni mpaka afike eneo la tukio kama daktari wa upasuaji ebbo! kuna utaratibu wa kufanya wala si lazima awepo nchini ndio utekelezaji ufanyike...
5. Kupima utendaji wake wa kila -nani kakwambia hafanyi ulifikiri lazima atangaze hilo kwako..performance review inafanyika kila wakati kwa mujibu president office regulations...
Tatizo lenu mnafikiri nchi ni habari moja tu ufisadi ufisadi basi...kuna shule zinajengwa, dispensary zinajengwa, barabara zinajengwa, vyuo vikuu vinajengwa, mikopo inatolewa, sheria zinatungwa..everything is in order...
hizo kelele za wafuasi wa lowassa na wanaojiita wapiganaji ni upupu na kukosa uzalendo kwa kiwango cha hali ya juu na uki-connect DOTS unaona kabisa wote wametokea sehemu fulani (root), wengine na opportunists wengine ni wivu wengi wao ni failures
Niliwahi kusikia kipindi cha nyuma, serikali iliwataka watumishi wa serikali kutokuwa nje ya kituo cha kazi (kuhudhuria warisha, kongamano, nguvu kazi nk) kwa muda usiyozidi siku kadhaa kwa mwaka. Mwenye kumbukumbu sahihi atanisaidia. Lengo hasa ilikuwa kwamba ukiwa nje ya kituo cha kazi lazma kazi nyingi hazitalala ofsini kwako. Na huyo unayemwachia ofsi kwa kipindi icho chote ndiye anayestahili kuichukua nafasi yako, kwani inakuwazi kuwa ndiye anayefanyakazi zote pale ofsini hivyo wewe hustahili kuwepo pale? Je huu utaratibu ulifutwa au kama upo mkuu wa kaya huu utaratibu yeye haumgusi?
ehuuuuuu...angalau hatimaye amefuata ushauri...ahueni sana hii jamani..
sasa mheshimiwa raisi apige kambi kabisa pale ikulu, aende na kule vijijini kwenyewe kabisa ambako hata baiskeli haifiki akajionee tanzania halisi anayoiongoza, labda itasaidia kumuongezea uzalendo kwa nchi yake.
Sasa zinaanza safari za kampeni ndani ya nchi!
Hivi JK akikaa nchini kwa angalau miezi miwili akaomba ushauri wa wataalam wa uchumi, kilimo, elimu n.k.,Hivi haya ni magumu sana kwake au miuu inamuwasha?
- akajadiliana juu ya nini nchi ifanye,
- Akaanza kutekeleza maoni yao,
- Akafuatilia utekelezaji wa waliyoafikiana na
- Kupima utendaji wake kila siku
kwaahiyo Vasco da Gama mweusi amechoka kidogo, anapumzika .Hata Vasco Da Gama alijaribu wakati fulani kutulia nyumbani.. guess what.. alishindwa.
John Walker mweusiWakuu mimi naona angeitwa J Walker.
Kama wanalingana au kufanana basi watalinganishwa na kufananishwa... wote wana sifa kuu na kutotulia nyumbani
mimi kutoka ofisini wiki tu nakosa usingizi lakini mkulu anatoka wiki tatu!!! hii mbado mimi ona...
ndo madhara ya kukulia jkwa bibi ukiwa mtoto.maana mkichinja kuku basi unapewa miguu ule sasa madhara yake ndo haya ukubwani..we mtu hatuliii kutwa anatangatanga tu kwenda kubembea mara kupiga picha na waigiza sinema...mweee
Tumain
Join Date: Sat Jun 2009
Posts: 1,921
Thanks: 553
Thanked 446 Times in 310 Posts
Rep Power: 24
Otherwise kama ulibadili jina lako la zamani,mwaka huu JF tutaona mengi sana na sijui kama tutavumilia!
Great thinker aliyekuja JF miezi 4 iiliyopita na mbwembwe za kumsifia JK kama safari zake zina maslahi kwa babu zangu waliopo kijijini Lufilyo-Kyela!
Hopeful this dude is kidding!
Tumain,Kujiunga zamani JF hakumaanishi chochote kwa jamii hiyo ni hoja dhaifu sana kuitumia kama wewe ni thinker lol...usinilazimishe niwatetee unaofikiri kwamba ni wema kwa mawazo yako..
Ni demokrasia kumsifia mtu yeyote kwa vigezo sasa unayemkandia JK hujatoa vigezo naona kama unalalamika tu bila hoja ndugu
Safari zina maslahi kwa taifa kama vile utalii, (pato la taifa), mahusiano ya kibiashara (business opportunity) nk
Waliopo kijijini wanafaidikaje inabidi urudi shule kusoma uchumi mpana
Kwanza ufahamu rais wa nchi anaposafiri mambo mengi mengine yanafanyika mfano business opportunities, utalii na hivi vinafanywa na maofisa katika foreign office...sasa wewe kama siyo katika kundi hilo upo na kazi zako za kuajiriwa tu huwezi kujua faida za safari za rais hata kidogo unajua kudai mshahara wako na bonus finito!Tumain,
Naomba unitajie vitu vitatu tu kuanzia 2005-2009 ambavyo Tanzania imefaidika navyo kutokana na safari za JK. That's all.
Ndio maana nimeomba unitajie vitu vitatu tu ambavyo tunaweza kusema ni tangible results of safari za JK nje. Mathanal amesaidia kuongeza watalii, amesaidia kuongeza ajira ya Watanzania kwa kuleta wawekezaji wa viwanda na manufacturing, ni vitu kama hivyo ningependa unitajia siyo longo longo za business opportunities.Kwanza ufahamu rais wa nchi anaposafiri mambo mengi mengine yanafanyika mfano business opportunities, utalii na hivi vinafanywa na maofisa katika foreign office...sasa wewe kama siyo katika kundi hilo upo na kazi zako za kuajiriwa tu huwezi kujua faida za safari za rais hata kidogo unajua kudai mshahara wako na bonus finito!
Kwanza ufahamu rais wa nchi anaposafiri mambo mengi mengine yanafanyika mfano business opportunities, utalii na hivi vinafanywa na maofisa katika foreign office...sasa wewe kama siyo katika kundi hilo upo na kazi zako za kuajiriwa tu huwezi kujua faida za safari za rais hata kidogo unajua kudai mshahara wako na bonus finito!