JK: Pesa zetu za kodi kulipia ununuzi wa shule za umoja wa wazazi-CCM?

Mkuu
.

Tunashindwa kuona kabisa tatizo la Tanzania linasababishwa na sisi watanzania wala halina uhusiano wowote na CHAMA wala itikadi.Kama ni magofu kwanini uone tu magofu ya ccm ambayo angalau bado bado yapo na ushindwe kuona magofu ya vyama vya ushirika na viwanda vilivyooza na vingine kupotea kabisa.?


hivyo vyama vya ushirika ambavyo vingine kabla ya uhuru vilikuwa na nguvu kubwa sana hasaa NYANZA ,KNCU,KCU,ARCU etc....viliuliwa na nani????...au ndio yale yale kusema kuwa ...rais ni mzuri lakini anaangushwa na chama na mawaziri...???
 
Back
Top Bottom