Nakuhakikishia kuwa kila kitu kitakaa sawa tena bila tatizo lolote! endelea kutega masikio tu.
Location yako imesema yote. Vipi lema hajambo?Rais hana mamuzi rais gani huyu hii inaonyesha jinsi gani jk anavyotumikia watu wachache ila watanzania wengi waliopiga kura ya hapana na kura zikaibiwa basi tena tusubirie 2015
Imekula kwake, na bado still more to come labda aresign, he has got no GUTS to handle issues/
Kile kipindi chake cha kuongea na wananchi kila mwisho wa mwezi kimeishia wapi? Na uwakika kua alikianzisha ili apate taarifa na madukuduku moja kwa moja kutoka kwa wananchi. Hao wachache anaowasikiliza na kuwatii ndio wamwangushao. Pole sana kiongozi
imekula kwa wapinzani bado ni Rais wetu
Nakuhakikishia kuwa kila kitu kitakaa sawa tena bila tatizo lolote! endelea kutega masikio tu.
Waganga wa Kienyeji wanawajengea Wateja wao Confo! Hata kwenye msitu wa Simba mtu unaweza kujikuta unataka kupita tu eti kwa sababu Mganga kakwambia, kwa dawa aliyokunywesha na ukivua nguo zote, Simba hawawezi kukuona! Kwa hiyo haya mambo mengine msiyaone yako hivi ni muendelezo tu wa Imani toka kwa Waganga wa Kienyeji.