JK ndani ya mji wa Moshi....

Kama JK anakwenda kupanda Mlima Kilimanjaro si lazime asindikizwe na mwenyeji wake, Bwana Gama?
Andaeni msiba.
 
Kama si mhalifu anaogopa nini mpaka aombe kulindwa kiasi hicho?
 
jamaa anataka aweke fly over kwenda kwa kibaki bana, anafanya upembuzi yakinifu alafu baadae atakukuja magufuli kutoa statistics na mchanganuo wa budget................
jhahhahahhahahaa
 
Maana ya jirani na kwa lyatonga ni ipi?
 
watoto wa kimarangu walivyo wazuri!? Nadhani nasi tunapata shemeji rais kwa mara ya 2
 
Huyu jamaa naye,ni mtani wangu lakini anavyoendesha nchi, kweli tuna Rais! Badala ya kushughulikia swala la madaktari, anaenda kutalii Moshi. Haya ngoja tujiandae kwa misiba ya watanzania wenzetu itakayotokea kwa kukosekana huduma za matibabu
 
Anakimbia SOO la madaktari, kabla ya jumatano utasikia yuko Zimbabwe!!
 
Sasa atembelee wapi Wakuu kama kila mahali mnamkandia? Awe Tz mnasema, akienda nje, nako mnamsema.

huyu ni janga kuliko hata yule babu anayemkaimu na mzee wa kulialia wao wanafanya angalau ziara zinazo make sense, lakini huyu, pooooooooh, ni kinyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…