JK ndani ya Kombati

Kama ameyapenda MAGWANDA basi watu wake wamchagulie rangi yao ya kijani/njano, hili alilovaa leo anatauma ujumbe gani?

Hongera Mh Raisi unaonyesha kweli ni mchapa kazi bado hujasahau ulikotoka,hivyo ndivyo ilivyo kwa wachapakazi,

kwa kuwa kafanya Mh JK hamsemi,Angefanya Rais wa China Mngesifia kweli,

mnavyopenda kusifiwa mjue na kusifia wakuu
 
Mbona iko kama acting?
Kuna mtu ana picha za Mwl. Nyerere alipokuwa anashiriki shughuli kama hizi? sikuwahi kuona anafanya sinema, alikuwa akimaanisha kweli kweli.
 
Kama ameyapenda MAGWANDA basi watu wake wamchagulie rangi yao ya kijani/njano, hili alilovaa leo anatauma ujumbe gani?

Huyo mama mwenye kijani alifikiri anaenda kwenye kampeni za pilao?
 

Katofali kadogo ila jamaa kajikakamua utadhani anabeba kilo mia!!!! walimchanganyia la chuma nini?
 

Vitu vingine vinachekesha kweli!!
Kikwete kashika koleo kaligeuza then kapiga magoti...!!! sijui alikuwa anafanya nini? anaonekana kabisa anaigiza utafanyaje kazi hu ya spade huku umepiga magoti!? Haka kajamaa kasanii, Nye!

Sasa angalia JK orijino alivyoshika zana za kazi kikazi kazi!! hiyo moja shoka liko juu!! kama Umsolopogaas na Inkosikaz yake!
 
[COLOR=#0000FF said:
RomboMaku[/COLOR];3345139]JMK ni Lt. Col wa JWTZ anaijuwa kombati nje ndani. Slaa? Mbowe? Lussu? Zitto? hao hata JKT sijui kama wamenusa.
hilo jina hebu anza kulitamka kuanzia mbele kurudi nyuma
 

kama gwanda la cdm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…