JK na Uongozi Uliotukuka

JK na Uongozi Uliotukuka

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete ni mpenda wananchi wake penye shida na raha yeye hujumuika.

1. Hujiunga na wananchi michezoni kushangilia
2. Huwa karibu na wananchi mabondeni wakati wa mafuriko
3. Huthubutu kuchukua maamuzi ya haraka na ya busara kama vile kuhamisha wananchi toka bonde la jangwani na kuwagawia viwanja Mabwepande
4. Majuzi na jana ameshirikiana na watz katika kuomboleza na kumzika Mheshimiwa Regia Mtema

Sifa za JK ni nyingi ziwezi kuzimaliza kwa leo, MUNGU akuzidishie hamasa ya kuwaongoza watanzania. Mungu tusaidie!
 
Niruhusu kutumia maneno yako... Mungu tusaidie!
 
5. Ni mwoga katika kutetea rasilimali za nchi.
 
6. Ameshindwa kuchukua hatua dhidi ya mafisadi kwa vile ni rafiki zake.

7. Hoja zenu ni za msingi sana, lakini wenzangu katika Chama hawatanielewa nisiposaini
 
Kichwa cha uzi kingesomeka vizuri kama kingekuwa hivi:- JK NA UONGO ULIOTUKUKA.
 
Ana degree ya uchumi lakini inflation rate mwaka jana ilifikia 19%
 
I thnk u hav ua own meaning of that word ''kutukuka'' contrary to that nitakiri kua nyerere hakuwa mwalimu!!
 
Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete ni mpenda wananchi wake penye shida na raha yeye hujumuika.

1. Hujiunga na wananchi michezoni kushangilia
2. Huwa karibu na wananchi mabondeni wakati wa mafuriko
3. Huthubutu kuchukua maamuzi ya haraka na ya busara kama vile kuhamisha wananchi toka bonde la jangwani na kuwagawia viwanja Mabwepande
4. Majuzi na jana ameshirikiana na watz katika kuomboleza na kumzika Mheshimiwa Regia Mtema

Sifa za JK ni nyingi ziwezi kuzimaliza kwa leo, MUNGU akuzidishie hamasa ya kuwaongoza watanzania. Mungu tusaidie!

Haya ni majukumu ya KILA BINADAMU mwema. Kama KIONGOZI yapi ya MSINGI aliyofanya?
 
Vyote hivyo hata mimi naweza. Mbona haja timiza ahadi ya kuvunja mikataba ya migodi, Mbona hajakuambia zaidi ya dhahabu, migodini kunachimbwa Platinium na Uranium. Wananchi wanachohitaji ni urahisi wa maisha na sio kututembelea kwenye michezo na mafuriko. Kuvijwa mikataba inawezekan kwa maslahi ya taifa. Madini yataisha kabla nchi haija nufaika ila kubakia na mashimo matupuuuuuuu.

No problem can be solved from the same consciousness that created it.
 
Mwacheni jk baba wa watu afanye lile analoweza, hii nchi ina matatizo mengi na mengi yalianzia enzi ya mzee ruksa, mrema alipoomba nafasi awashughulikie mkamtosa. Jk sasa amekuta maji yashazidi unga kila faili analoshika haliguski, ndio maana hata wakati mwingine anaamua kutoka nje kupumzika. Watz ni wezi kila mahali ila kila mmoja hula urefu wa kamba yake.
Sasa kilichobaki ni sisi wenyewe tumsaidie kwa kushinikiza kwa maandamano apate nguvu ya kufanya maamuzi magumu b kwani mafisadi hawawezi kushindana na nguvu ya umma. Wakati wa kuchukua hatua ndio na sio kulalamika tena
 
Back
Top Bottom