Hivi nyie wagalatia, kikiwekwa kipengele cha DINI mtakosa /pungukiwa nn???
Hicho kipengele kinakusaidia nini wewe? Kinakuongezea mlo mezani? Kinakusaidia kusaidia ktk huduma za afya kwako na familia yako? Kinakusaidia kupata elimu? Kweli dunia ya sasa tunazungumzia ujinga wa maisha binafsi? Dini yako inamnufaisha vipi jirani yako hasiyefuata imani yako? Miafrika ni mijinga sana!