JK na PM wake wapingana kuhusu Kipengele cha dini kwenye Sensa

Status
Not open for further replies.
mh i dont get the logic behind, lets assume islamic are 100% and christian 0%, then wat? au ndo nchi iongozwe kwa sheria za kiislam 7bu mpo wengi...loading
 
Wagalatia mbona hawana shida, JK ndio kaamua kipengele cha dini kiondolewe.

JK atakuwa mamluki kwenye dini yetu, maana nasikia hata kilevi anagida.

huyo mbona wala hata msiwe na wasiwasi nae, huyo ni wenu kabisa, na ndo maana ana cheza ngoma ambayo kimsingi MK ndo unaipiga. JK hana lolote kwenye maslahi ya uislamu.
 
Wakuu samahani kwa kauli yangu Miafrika mijinga sana. Wakati mwingine hasira inaweza sababisha kutamka maneno yasiyopendeza. Lakini mkuu wangu hizi akili za kitumwa za baadhi yetu,zitaendelea dhalilisha bara letu la Afrika kama binadamu wa hovyo ktk uso wa dunia hii.


very well said Brother, this is the divide n rule policy. Pls try and see this you tube video, itatufungua macho vizuri sana: THE VATICAN, RULES THE WORLD. - YouTube
 
Kama kuna jambo linalo onyesha kwamba siyo kwamba tuna utawala dhaifu bali utawala mfu ni hii issue ya kipuuzi! Utadhani serikali haina wasemaji,tena watu wasomi ambao wangewaalika hawa wapuuzi hata ktk mijadala ya wazi wakawaaibisha na ujinga huu ukaisha. Watu wanaigeuza serikali kama taasisi ya dini yao,wakati kuna watu wanalipwa kwa kodi zetu wako kimya!!

Mkuu nakuhakikishia hao serikali hili wanalijua kwa undani, ndo maana wanaogopa kutoka kuzungumzia hili swala. tatizo lako wewe unadhani waislamu kwenye hili wamekurupuka, wana hoja ya msingi ndo maana serikali inawapita pembeni na kung'ang'ania hoja ya maendeleo tu. hivi wewe unadhani waislamu hawataki maendeleo??? HEBU KWA MFANO WEWE NIELESHE HILI MOJA NIONE KAMA KWELI WEWE UNAWEZA KUWAABISHA HAO UNAODHANI NI WAPUUZI, kwa nini zinahesabiwa nyumba za ibada na watu wanaoingia kwenye hizo nyumba kuabudu???? nipe jibu mkuu halafu nitakuuliza mengine???
 

[*]Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
Wewe umesadikishwa uongo kwa sababu ni mvivu wa kufikiri. Sisi tumetoa sadaka zetu na kutafuta fedha zetu tumejenga taasisi zetu. Tuliwaza mapema kuwa huduma za jamii ni muhimu. Serkali inadandia huduma za makanisa, ni haki itoe mchango wake kwani huduma hizi hazingetosha ku substitute jukumu lote la serkali kutoa social service. Hata hiyo MOU isipokuwapo huduma hizi zitaendelea kwa maslahi ya waumini wa dini husika na jamii kwa ujumla. Nyie mnasubiri kupewa vyuo bure na bado mnalalamika!! Ondoa ukungu kwenye ubongo roll ya sleeves and go to work. Kulalamikia wanaofanya kazi hakuwezi kuwasaidia. Fikiri kama waislamu ndio mekuwa na huduma hizi za jamii si zamani mngekuwa mmedai nchi yote iendeshwe kwa sharia? Ninyi mna wafanyabiashara wakubwa, favour ya serkali katika kila eneo, na sio wachache lakini ubinafsi ni tatizo. Hata hizo taasisi chache milizonazo zimegubikwa na migogoro ya kugombania madaraka, ubadhirifu na magawanyiko. Fikiri hata huyo kadhi mnayadai mmeshindwa kukubaliana atoke kundi lipi. Kwa hali hii badala ya kuendelea mnapiga mark time. Halafu mtaanza kulaumu kuwa wakristo ndio wanasababisha kutoendelea kwenu. Ni uongo wa wazi ila ninyi hamtaki kutumia ubongo kufikiri. Mnaridhika na kutupa lawama kwa wakristo!
 
duuu kweli ndugu waambie
Waislamu wako wengi wenye elimu na wameelimika. Walioelimika hawana akili mgando kama ulizozitoa kwenye hoja ya sensa. Walioelimika wapo wengi tu tena ni viongozi wa nchi hii wengi wao kwa sasa kuliko hata wakristo lakini hawana tena mawazo ya kipuuzi kama mlizokuwa nazo wenzao ambao hamna elimu au mmesoma lakini akili zenu zimezibwa na mafuta ya dini hamwezi kuona vitu kwa uhalisia uliokuwa tofauti na dini. Wa kwanza anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete, ndiye Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wa pili anaitwa Dr. Gharib Bilal, ndiye Makamu wa Rais, wa tatu anaitwa Dr. Mohamed Shein, ndiye Rais wa Zanzibar, wa nne ni jaji mkuu wa nchi hii, wa tano ni makamu wa Rais wa kwanza na wa pili wa Zanzibar. Wengine ni mawaziri kwenye wizara mbalimbali naa hata mkuu wa tume ya sensa naye ni muislamu pia.
Hebu wewe unayejiita msomi wa kiislamu niambie huo mfumo ukristo unapita wapi wakati viongozi wakuu wa serikali ni waislamu? Manake kwa wakristo kiongozi mkuu serikalini ni waziri mkuu Mizengo Pinda. Ina maana Pinda kawazidi kete hao viongozi walio waislamu wenzenu?
Siamini kuwa sensa inapaswa kuhesabu watu kwa dini zao kwani hiyo inaweza kufanywa na madhehebu yenyewe. Kila dini iweke kitabu kwenye msikiti au kanisa na kama ina malengo ya kupata watu wake ni kuwaandika majina kisha kujumlisha idadi yao nchi nzima. Kama hili dogo linawashinda mpaka mnatishia kususia sensa mtaweza lipi?
 
Mnatuchosha sasa na kulalamika kusiko na msingi,
Sijawahi sikia mkilalamika kuwa mna University chache, au vyuo na shule chache!
Hamlalamiki kwa nini barabara hazijengwi hadi vijijini, wala ukosefu wa madawa mahospitalini!
Kutwa mmekalia sisi, sisi, tu ni ubinafsi ndio unawasumbua:
Haya sasa katika nchi hii mnao marais watano, bado tu mnalalamika mfumo kristo,
Hivi vichwa vyenu ni vya kufugia nywele tu?
Hivi nyie watu lini mtakua na kuacha kulalamika?? Mnatuchosa.
 
kama baadhi ya waislam awataki kuesabiwa sawa waachwe,mimi naona serikali hapa iangalie mfumo mwingine wa kupata takwimu ili kuepusha matatizo na jamii ya watu wasioelewa,wenye mawazo mgando,hakuna faida yoyote kwa mtu kutunga takwimu na propaganda.basi watanzania tupo 90milion,hiyo MoU kweli ipo katika nchi viongozi wake wakuu ni waislamu ???usiwapotoshe watu mashule,hospitali wakristu wamejenga na watajenga wenyewe.mmepewa majengo ya tanesco morogoro mmeshindwa kufungua tawi ata moja
 
ni bora kupumbazwa na dini ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, kuliko kupumbazwa na upumbavu wa kiumbe mwenzio Karl Max ambaye naye alikufa na kuoza kama tutakavyokufa mimi na wewe. miongoni mwa wajinga nawe umo, unamlinganisha karl max na Mwenyezi Mungu, hakika ZUZU ni ZUZU TU.
Safi sana, ukweli utajulikana ni nani ZUZU, Mungu hayupo katika dini hilo unatakiwa ulifahamu, ni wajanja fulani tu ndio wamewaletea yote hayo huhitaji hizo dini kumjua Mungu wa kweli, mkichukulia Mungu ambaye ni Mwenyezi kama ulivyosema, hayumo katika dini yoyote na hata hiyo unayoifuata, maana dini zinapumbaza na ndiyo maanaa hata hili nalo kueleweka kazi sana, just kukuelewesha Mungu hapumbazi, ila dini zenu zinapumbaza, Mungu wa kweli hayupo katika dini zilizoletwa na Wanadamu.
 
iki hesabiwa mkiwa waislamu wengi .mnataka kufanya nini ???
Tupitishe sheria nchi iongozwe kwa sheria za kiislam, Mafisadi wote watapigwa mawe hadi kufa, wezi wa fedha za RADA, EPA, KAGODA Nk watapigwa mawe hadi kufa, Wazinzi kwa wake za watu kama Mwigulu watapigwa mawe hadi kufa.
 
Waislamu hakuna sensa full stop, kinawauma nini nyie makafiri!
ndugu yangu mimi ni islam lakini sipendi tunapokashfu dini nyingine hususani sipendi kutumia neno Kafiri sio zuri na hii inasababisha watu wengine wenye akili kama zako wanatukana na sisi waislam wengine ambao hatupo kama wewe, tuwe waungwana mwenyezi mungu hakusema tuishi kwa kukashfiana kwa dini zetu. pia kipindi hiki ni cha toba ya mwezi mtukufu unapoingiza maneno kama hayo unapunguza thamani ya funga yako.
 
ok waislam mpo 85% ,then wotz next? kwa wingi wenu mnahitaji njia pana...nyembamba haiwafai
 
serikali inaona mbali,kwani wangeweka kipengele cha dini pia ingebidi waweke kipengele cha umiliki wa majini
 
Ni jambo jema machoni pako kama hutaki kuhesabiwa, ila pia ni jambo jema machoni pao wale wanaotaka kuhesabiwa.
 
vita ya nafsi(ubinafsi) ngumu kuishinda.,mnavyotoka povu utafikiri mtaishi milele.,.,mkumbuke jirani yako,rafiki na hata ndugu yako yuko wapi?? Nyerere aliyesambaza sumu ya udini kimya kimya yuko wapi?? Naona afya zenu njema na shibe vinawatia viburi sana.....kwanza hata hicho kipengele kikiwepo bado mtachakachua idadi kama kawaida yenu.....tutafanya wenyewe sensa yetu afu tulinganishe na hizo data zenu za uongo....
 
Waislamu wako wengi wenye elimu na wameelimika. Walioelimika hawana akili mgando kama ulizozitoa kwenye hoja ya sensa. Walioelimika wapo wengi tu tena ni viongozi wa nchi hii wengi wao kwa sasa kuliko hata wakristo lakini hawana tena mawazo ya kipuuzi kama mlizokuwa nazo wenzao ambao hamna elimu au mmesoma lakini akili zenu zimezibwa na mafuta ya dini hamwezi kuona vitu kwa uhalisia uliokuwa tofauti na dini. Wa kwanza anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete, ndiye Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wa pili anaitwa Dr. Gharib Bilal, ndiye Makamu wa Rais, wa tatu anaitwa Dr. Mohamed Shein, ndiye Rais wa Zanzibar, wa nne ni jaji mkuu wa nchi hii, wa tano ni makamu wa Rais wa kwanza na wa pili wa Zanzibar. Wengine ni mawaziri kwenye wizara mbalimbali naa hata mkuu wa tume ya sensa naye ni muislamu pia.
Hebu wewe unayejiita msomi wa kiislamu niambie huo mfumo ukristo unapita wapi wakati viongozi wakuu wa serikali ni waislamu? Manake kwa wakristo kiongozi mkuu serikalini ni waziri mkuu Mizengo Pinda. Ina maana Pinda kawazidi kete hao viongozi walio waislamu wenzenu?
Siamini kuwa sensa inapaswa kuhesabu watu kwa dini zao kwani hiyo inaweza kufanywa na madhehebu yenyewe. Kila dini iweke kitabu kwenye msikiti au kanisa na kama ina malengo ya kupata watu wake ni kuwaandika majina kisha kujumlisha idadi yao nchi nzima. Kama hili dogo linawashinda mpaka mnatishia kususia sensa mtaweza lipi?

hii inchi ni democratic state,so kila mtu anahaki ya kutoa maoni matatizo na ushauri na kusikilizwa.waislamu wako right tena 100% vipi majengo ya ibada yahesabiwe na wa2 waliomo ndani wasihesabiwe,does it make sense??sasa kama serikali imeona kipingele cha dini haina umuhimu basi iyondolewe kuhesabu majengo ya ibada kwani ipi bora majengo au watu???halafu umesema kuna viongozi wengi waislamu kuliko wakirisitu,naomba nikwambie hili wingi wa kamasi sio ukubwa wa pua!!waislamu wahalili uongozi bali mfumo waongozi!nadhani utakuwa umenipata hapo mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom