JK na mchina chomboni

yaan ye anawza gemu tu duu,ha2na mtu
 
Bora tumiliki ndege za kivita ili tuwa na amani, kuna dalili vikosi vya smz ambavyo vikosi tiifu kwa rais wa zanzibar pekee chini wa baraza la mapinduzi lenye uwezo wa kutangaza vita kwa kupitia waziri wa ulinzi wa zanzibar, kule wanamwita waziri wa nchi afisi ya rais vikosi, vinajifua kinoma, wasije wakabonyeza wao mwanzo, na ikulu yetu iko njiani...
 
Sio rahisi kuuliza swali kama hilo kwani JK alikuwa ofisa wa jeshi. Angekuwa yule Padri wa Canon Law ningeweza kufikiria hivyo!
 
na kweli linaweza kuuliza hivyo, huyo kichwa maji hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…