Kinyesi!Pengine yanayosemwa kuhusu ukaribu wake na wale wanayoiongoza Serikali yake kwa namna moja au nyingine ni watu wake wa karibu sana. Na hii imegusa sasa mihimili yote ya dola na hata ndani ya chama na kupelekea maamuzi mengi kuonekana yanakwenda mlama kutokana na kujuana kwingi na kuoneana aibu.
Weka vizuri haijaeleweka.
Kwa hiyo ....Pengine yanayosemwa kuhusu ukaribu wake na wale wanayoiongoza Serikali yake kwa namna moja au nyingine ni watu wake wa karibu sana. Na hii imegusa sasa mihimili yote ya dola na hata ndani ya chama na kupelekea maamuzi mengi kuonekana yanakwenda mlama kutokana na kujuana kwingi na kuoneana aibu.
Kinyesi!