JK na Hawaiian Shirt lake la Wal-mart

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,691
5,041
Jamani, I stand to be corrected lakini hili Beach Shirt shirt alilovaa JK kama nilishawahi kuliona Wal-mart mwaka jana au mwaka huu (not exactly sure). Ni brand ya "George" na yanauzwa Wal-mart kila summer for 10 bucks or so. Kama ni kweli basi JK kumbe hana makubwa na hahitaji suti za Savile Row kama anaweza kuvaa shati la Wal-mart la dola 10 kwenye mkutano na Masheikh.

 
Acha ushamba wewe, kama akikutana na mashekh akavaa cheap shirt it doesnt imply that hawezi kuvaa expensive suit za kuhongwa...
 
He is free for any form of former and latter albeit not for a premice allocation nor selling of naturals vs tz
 
Jamaa huwa anavaa kwa kufuata nyota so rangi ya nguo anayovaa huendana na rangi ya nyota ya siku hiyo
 
Jamaa wamewekewa juice ya mapera nusu glass kwa kila mmoja.
 
Hili ndio shati walilomuonga kwani? Limempendeza SHATI UBWABWA LAKE!
<br />
<br />
 
lmao! nw it is all abt presantation! na ndo kigezo tulichomchagulia urais,lets have all the fun!
 
hahha bi mkora umenichekesha,hila hilo shati la floral print limekaa ki kike zaidi nadhani....
 

direct imported from uarabuni

where is your rafiki nyama hatari?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…