Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,675
- 5,022
Jamani, I stand to be corrected lakini hili Beach Shirt shirt alilovaa JK kama nilishawahi kuliona Wal-mart mwaka jana au mwaka huu (not exactly sure). Ni brand ya "George" na yanauzwa Wal-mart kila summer for 10 bucks or so. Kama ni kweli basi JK kumbe hana makubwa na hahitaji suti za Savile Row kama anaweza kuvaa shati la Wal-mart la dola 10 kwenye mkutano na Masheikh.