JK: Mpeni kura Jah People, atawasaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK: Mpeni kura Jah People, atawasaidia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msanii, Sep 26, 2010.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  MY TAKE
  sina shaka na elimu yake wala kukubalika kwake kwenye jamii bali hilo jina lake linaashiria kitu fulani against jamii. kwanza kujiita Jah People maana yake ni Mungu mtu. bora angejii ta Ras kuliko jah. nilishawahi kumweleza Kimbuteh kuwa anapojiita Jah Kimbuteh ni kujitwisha nafasi asiyostahili.
  Kikwete kazi unayo maana zaidi ya wala majani hata masangoma unawanadi this time
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Maadam ameishaanza kuwanadi masangoma basi ujue lifuatalo baadae kuwapa ubunge wanajim!!
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sikujuwa JAH maana yake ni MUNGU!! .. Shukran Msanii.. nimepata neno jipya
   
Loading...