JK mkali wa "Kunyunyusa" NGOMA

JK mkali wa "Kunyunyusa" NGOMA

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
JK.jpg


RAIS
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma muda mfupi baada ya kuwasili katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski kuhudhuria kikao cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika jana jijini Dar es Salaam.Pembeni ya Rais ni wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Burundi
 
ndo kazi anayoiweza kwa ufasaha na ndio kipaji kilichomuingiza hata jeshini miaka hiyo..mwacha appractize bana....anajua mapka kupiga vigoma vya daku huyo muone hivo hivo
 


Yes, Dr. Dr. Dr. Dr. JK.................Ila anapendezea sana hapo kuliko kule mjengo mweupe


Angetupaisha sana kimataifa kwenye muziki wa asili kama angejikita na kujiendeleza kwenye fani hii ambayo ana kipaji nayo kikubwa sana
 
Hana lolote kamwona kigoli pembeni ukifuatilia watakuwa wamekula dinner kwa mwin...kulu
 
amefit kwenye fani hiyo.....nadhani akistaafu ameshapata cha kufanya
 
Sasa ngoma na suti wapi na wapi, au ubishoo ndio umezidi? haoni wenzake wamevaa Lubega, huyu jamaa anapenda kutusanifu sana Watanzania.
 
Hivi Africa mbona tuna matatizo mengi sana!!!!!!!
inakuwaje Rais wa nchi maskini kama Tanzania anakwenda kupiga ngomaa!!!!
ivi mlishawai kuona Raisi wa nchi zilizoendelea anawekwa picha za kupiga ngomaaa!!!!
jamani jamani toka Bongo fleva (sijui mradi wa malaria nasikia eti Sugu walimzulumu!!!)
mpaka Ngoma kweli ****** zake sifaa
sijawahi kuona sijawahi kuona inanihuzunisha
 
Baaalaaaa kabisa kweli ndio fani yake ---- Anapiga NGOMA na mwenyewe ana NGOMA tueleweze ??? Hulalala Dr wa NGOMA jamani anatutia aibu
 
Wakwere ngoma ndio jadi yao; hujawahi kumsikia Jakaya akiimba huku akipiga makofi utamsahau!!
 
Nitaanzisha bendi, drums ****** atahusika! Mnaonaje wadau?
 
Acheni kumnanga mkulu kisha timiza ndoto yake ya kuwa PRESIDA angalia ya kwako imetimia?kama bado jitahidi ukumbukwe ukiiacha dunia hii.DUNIA NI UWANJA WA FUJO
 
Unashangaa hii.........mbona huendaga jamaica kubembea na mke wake na watoto wake?......kikwete anajua mambo mengi sana yasiyo na maendeleao kwa watz
 
Back
Top Bottom