JK , Lowassa, Mwakiembe na Silaa ndani andiko. "Sio kila aliyeko gerezani ni mhalifu.".

chameleon

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
555
170
Tumezisikia habari za Yusuf katika maandiko matakatifu (Mzo 39: 1-23). Huyu aliuzwa na nduguze utumwani ktk nchi ya Misri. Akiwa utumwani aliaminika sana na Potifa mkuu wa majeshi ya mfalme Farao (JK) hadi akafanywa kuwa mkuu wa idara zote nyumbani mwa jemadari Potifa. Mke wa Potifa alivutiwa na kumtamani sana Yusuf alimkamtaka alale naye ingawa yusuf alikataa. Siku moja mke wa Potifa (...embe) alipoona wapo wawili tu nyumbani aliamua kufisadi ndoa ya mumewe.Yusuf alipokataa tena yule mama aliikamata kanzu ya Yusuf (EL) na alipokimbia nje yule mama alipiga kelele na kuita mashahidi wa uongo "...oneni yusuf (fisadi) alitaka kunibaka nilipopiga kelele akakimbia na hii kanzu ndio ushahidi. Potifa aliporudi Yusuf alishtakiwa na kufungwa gerezani. Akiwa gerezani alionyesha tabia nzuri na kufanywa kiongozi wa wafungwa wenzake.Kwa kipaji chake cha utabiri alitolewa gerezani akainemesha sana nchi ya Misri hadi kufanywa waziri mkuu.Baadae aliacha madaraka kurudi kwao (.KAWA) Israel. Sio wafungwa wote ni wah...
 
Back
Top Bottom