KELVIN GASPER JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,066 Reaction score 454 Aug 1, 2012 #1 AGENDA 1. AJALI YA MELI 2. GESI ASILIA Mgomo wa walimu ataongelea kidogo kwani mahakama kesho itafanya maamuzi.
AGENDA 1. AJALI YA MELI 2. GESI ASILIA Mgomo wa walimu ataongelea kidogo kwani mahakama kesho itafanya maamuzi.
K Korogwe Vijijini Member Joined Jul 28, 2012 Posts 13 Reaction score 3 Aug 1, 2012 #2 Jamani watanzania wenzangu hivi sio vitu vya kukosa hakikisheni mnaangalia tbc 1 ili kufahamu ni mambo yapi rais atayaongelea Mungu akipenda kesho tutajadili yaliyotulizisha na yasiyotulizisha.RAMADHAN KAREEM
Jamani watanzania wenzangu hivi sio vitu vya kukosa hakikisheni mnaangalia tbc 1 ili kufahamu ni mambo yapi rais atayaongelea Mungu akipenda kesho tutajadili yaliyotulizisha na yasiyotulizisha.RAMADHAN KAREEM
Tugutuke JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 501 Reaction score 168 Aug 1, 2012 #3 Saa ngapi jamani anaanza?