JK Live ITV akihitubia taifa

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,373
Anaongelea mgomo wa madackari na wahamiaji haramu toka ethiopia
 
Niko bar walevi wanasema anavyoongea utadhani ni mtu mwenye busara kumbe siyo
 
mimi nimebadilisha chanel baada ya kumuona
hamna anachoongea cha maana na kama kipo hakunaga kakitekeleza
 
safi kabisa mh😛resident jk ulivyompa pole dk:ulimboka,anastahiki pole,na tuwache uchunguzi upite!
 
makofi kwa muheshmiwa pr:jk weweeeeeeeeeeeeeeeeee,yani jamaa anakubalika,tupo kwa ajili yako jk wala si kwa ajili ya c.c.m au chadema!mpaka mwisho wa safari yako.
mungu ibariki tanzania,dumisha uhuru na umoja!
 
Hiyo hotuba ni ya mwisho wa mwezi ama mwanzo wa mwezi? Ilikiwa humi jamvini muda mrefu ikijadiliwa,ama imebadilishwa?
Sie tnacheki euro final bwana, hana mpya
 
Kazi ipo kusema cha ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…