JK kuwasha mwenge Mbeya

Ngomo

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
200
Reaction score
97
kuna tetesi mbeya kwamba mwenge wa uhuru utawashwa mwaka huu mbeya katika taasisi ya sayansi na tekinolojia na ataye washa ni mzee wa chalinze JK. baada ya kupumulia mashine kwenye uchaguzi kaamua kuwapoza watun wa mbeya kwakuwasha mwenge pale na kutangaza rasmi MIST kuwa chuo kikuu cha MUST yaani Mbeya University of Science and Technology.
 
Mmmh haya! Itakuwa mwezi wa ngapi?
 
Hivi bado kuna mazezeta nchi hii bado yanaendelea kukimbiza moto? omg.
 
Bado wanakimbiza huo msukule?
 
Kama ni kweli Hongera wanambeya kwa kupata MUST.
 
Uzuri wake akija mbeya,hawezi kuhutubia,akiwasha jini lake huyoooooo.sijui atapita njia gani kwenda mist maana tuna hasira naye.bora asije au aje kabla ya maandamano ya cdm tarehe 4 may
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…