JK kutangaza Makatibu wakuu wa Wizara?

What do you expect? If we could not see changes in the new cabinet, una tegemea maajabu kwenye hili? Sitegemei kuona jipya.

Can you imagine Maji na Irrigation kuwa Wizara moja? Mtu wa Irrigation ni mtu wa kilimo anasoma kilimo na anatakiwa kuja Agronomy, pests, crop water requirement. JK anasema ni kujenga mitaro. Hiyo ni civil works Irrigation ni zaidi ya hapo. After all Taifa lina aim at High tech irrigation na sio tena umwagiliaji wa kijima. See where we are driving
 
Ni kweli kuwa atabadilisha makatibu wakuu wa wizara wapya?


Of course what do you expect ? Yule wa Madini that will be obvious lakini wengine watahamishwa hapa kwenda pale labda wale ambao wizara zimeunganishwa mmoja wao atamwagwa.
 
kwa kweli kwa bwana Gray Mgonja inatosha kukaa pale ameshachuma vya kutosha...Yule wa madini arthur mwakapugi nadhan abadilishwe wizara bado ni mtendaji mzuri..ila kwa bwna mgonja sio wakubadilisha bali kupiga chini akisubiria mashtaka ya BoT scam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom