Elections 2010 JK kugawa kitochi cha mbege K'njaro leo?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
JK alisema kuwa takrima haikwepeki ingawaje sheria ya uchaguzi inakataza na mahakama ilikwisha amua kuwa ni rushwa. Sasa kuanzia leo yuko huko Kilimanjaro, tutarajie vituko vingine huko na utani wake na wazee wa Kichagga!
 
Takrima ni RUSHWA! Kama umewaalika wazee au wananchi kwenye mkutano wako, na kama wananchi wanakukubali, watakuja tu kwa gharama zao. Hivi Nyerere alikuwa anatoa Takrima? Mbona mikutano yake ilikuwa na watu!?
 
alikuwa chaguo la mungu,kikwete ni chaguo la mafisadi
 
Tusubiri kituko kingine maana huyu jamaa hachelewi kuchafua hali ya hewa
 
JK alisema kuwa takrima haikwepeki ingawaje sheria ya uchaguzi inakataza na mahakama ilikwisha amua kuwa ni rushwa. Sasa kuanzia leo yuko huko Kilimanjaro, tutarajie vituko vingine huko na utani wake na wazee wa Kichagga!

Akiendelea na utani wake kwa Wazee wa Kichagga atakuwa ana lake jambo. Si bado hajafikisha wanne...?!!
 
Hazina imekauka sasa anapiga misele ya humu humu ndani mpaka TRA wakamue kodi ndio aanze tena route za majuu.
 
Sasa anaongelea kugawa computer kwa kila mwanafunzi wakati si wafanyakazi wote wa serikali wana computer kila mmoja! Computer ni njia mojawapo ya mawasiliano, je content imekwisha andaliwa?
 
Back
Top Bottom