JK: ilani niachieni mimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK: ilani niachieni mimi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 13, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  JK alipokuwa Kawe aliwaambia wagombea ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM kuwa wenyewe wajibu kero za wananchi na ilani ya uchaguzi ya CCM wamwachie yeye. Sasa tofauti iko wapi? Hivi kazi ya mbunge na diwani ni kujibu kero za wananchi au kuisimamia serikali, kuwakilisha wananchi zikiwemo kero na kutunga sheria? JK anajua kweli kazi za mbunge na diwani?
   
 2. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaa is desparate. Tumhurumie tu maana amelemewa!
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  katika miaka mitano aliyokaa ikulu alikuwa akizungukwa na wapambe wakimdanganya tuu;

  sasa baada ya kukutana uso kwa uso na wananchi katika kampeni amegundua kuwa watendaji wa serikali,wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halamashauri n.k walikuwa wakivurunda tuu ndio maana ameamua kila mtu ajibu tuhuma katika eneo lake
  .

  mfano hai ni pale alipokuwa katika kampeni kule kagera na akakiri hadharani kuwa wakuu wa mkoa wa ikagera na wilaya ya misenyi walimpotosha kuwa katika ranchi ya kakunyu hakuna makazi ya watu. Hali kama hiyo imejitokeza katika sehemu nyingi katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa j k na wananchi kwa maelfu kunyang'anywa ardhi zao, kubomolewa nyumba zao n.k.
   
Loading...