JK Hana Mamlaka ya "Kuunda Katiba" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Hana Mamlaka ya "Kuunda Katiba"

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by niweze, Jan 7, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watanzania Kuna Hatari Kubwa ya Kumwacha JK Kuunda Katiba ya Tanzania. Tumeona Upande Upi Mpaka Sasa Anatetea Hasa Katika Kupigwa Risasi na Kuuwa Watanzania Wenzetu Arusha. Tunaona Hatari Kubwa Hili Swala JK Anataka Kuweka Mikono Yake Kuanza Kuteua Wajumbe wa Tume. Hili Swala Katiba ni "Uzito wa Nchi Nzima" Hatari ya CCM Tumeiona na Wengi Ndugu Zetu Wamekufa kwa Ajili ya Vitendo vya CCM. Yafuatayo ni Sababu za Kutoruhusu JK Kuunda Katiba:
  1. Ofisi ya Raisi na Kupunguzwa kwa Madaraka ya Raisi ni Moja Wapo ya Marekebisho ya Katiba
  2. JK na CCM Hawawezi Hata Mara Moja Kutetea Matakwa ya Wananchi. Tume ya Uchaguzi Imetufindisha Udikteta
  3. JK Akiruhusiwa Tutapata Uongo Kama Dowans, EPA na Wizi wa Bank Kuu na Migodini na TRA
  4. JK Sio Mkweli na Wananchi Tumecha Kumwamini Vitu Vyote Akivisema. Kitu Gani Kitamfanya Abadilike na Kuunda "Tume Ilio Huru?"

  In Kenya, corruption probes bring 'unprecedented' government shake-up - CSMonitor.com
  Enterprise Resilience Management Blog: Corruption and Kenya's New Constitution

  Chombo Peke Yake ni Kuundwa Kwa Tume Kutumia Bunge na Iongozwe na Kofi Annan au Thabo Mbeki. Wananchi Tunataka "Viongozi Walio Neutral na Wasema Ukweli" Chadema Kamwe na Hata Mara Moja Msiruhusu CCM Watubulize Tena Kwenye "Tume Hewa" Tubaki Palepale.

  "Wakati wa Maendeleo ya Katiba ni Huu Sasa. Hakuna Kurudi Nyuma"
   
Loading...