JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
...Ingekuwa hivyo basi nchi yetu isingekuwa katika hali mbaya kama ilivyo sasa. Wengi walidhani ni "chaguo la Mungu" kumbe ni chaguo la mafisadi. Kuwepo kwake madarakani kunaiangamiza nchi.
rais anania ya kweli kulijenga Taifa sasa unaposema analiangamiza taifa nashindwa kukuelewa labda ungetoa mifano kwanini analiangamiza Taifa?
 
rais anania ya kweli kulijenga Taifa sasa unaposema analiangamiza taifa nashindwa kukuelewa labda ungetoa mifano kwanini analiangamiza Taifa?

...Huwezi kuelewa kwa sababu huna nia ya kufanya hivyo. Mifano ipo humu jamvini mingi sana tena ya tangu 2005 mara tu baada ya kuingia madarakani. Itafute labda itakusaidia kufahamu kwanini Kikwete analiangamiza Taifa.
 
​sidhani kama kikwete analiangamiza Taifa bali Taifa linaangamizwa na Wananchi wenyewe
 
rais anania ya kweli kulijenga Taifa sasa unaposema analiangamiza taifa nashindwa kukuelewa labda ungetoa mifano kwanini analiangamiza Taifa?

Jk anatamani kuwazika watanzania wote kabla hajaondoka madarakani 2015. yaani kwa jinsi anavyotufanyia angeondoka yeye akabaki diwani msangi!
 
Jk anatamani kuwazika watanzania wote kabla hajaondoka madarakani 2015. yaani kwa jinsi anavyotufanyia angeondoka yeye akabaki diwani msangi!
Hapana mimi nilikuwa ninamtizamo mkali zaidi dhidi ya kikwete lakini kwa hali ya sasa inabidi apewe nafasi ya kutekeleza mambo yake na si kuongeza mashinikizo mengi. kuna kitu kimoja lazima Wananchi Tutambue unapopanda gari na dereva analiendesha kwa kasi inapofika wakati speed ni 120 km per hr gari linapoyumba suluhu si kumnyanganya usukani dereva , bali ni kusali.

Watu ao waliotajwa juu wanatambua ya kuwa jk ameshika usukani wa mambo mazito kuyumba kwake si sababu ya kuongeza mashinikizo makubwa kiasi hicho
 
kuwafuta hao uraia yeye akabaki na uraia bado haisaidii,inabidi na yeye ajifute huo uraia
 
Ili nchi itawalike inatakiwa Kikwete achukue uamuzi mgumu na wa kijasiri ili kelele zinazopigwa na hao watajwa hapo juu zipate ufumbuzi. Hana sababu ya kuwafutia uraia wala uwezo huo hana
 
rais anania ya kweli kulijenga Taifa sasa unaposema analiangamiza taifa nashindwa kukuelewa labda ungetoa mifano kwanini analiangamiza Taifa?

acha ujinga basi! Mi nilifikiri unatania kumbe uko serious
 
...Huwezi kuelewa kwa sababu huna nia ya kufanya hivyo. Mifano ipo humu jamvini mingi sana tena ya tangu 2005 mara tu baada ya kuingia madarakani. Itafute labda itakusaidia kufahamu kwanini Kikwete analiangamiza Taifa.

​sidhani kama kikwete analiangamiza Taifa bali Taifa linaangamizwa na Wananchi wenyewe

wewe si bure
 
huyu sio jina lake hilo ndio hajui hata kuliandika. Huyu atakua wale ndugu zetu wa kizazi cha beki 3 mama mdogo.
kaka usihukumu usichokifahamu, elimu ni uwezo wa mtu kuishi na jamii na kuweza kuishi na watu wenye mitazamo tofauti nawewe na ukiweza unaweza kuwaongezea maarifa na si kupambana na kila tofauti ya mtazamo. kaka kama umamiliki degree moja rudi shule kwani zimeshakuwa kama darasa la saba
 
@MUNGI & FILIPO
Inawezekana mnamitazamo tofauti na jamii na maslahi ya taifa lakini jaribuni kuficha hisia zenu za kutukana na kudhani ndio mmefikisha ujumbe, Inawezekana mada hii ikawa nzito zaidi ya nyinyi mnavyotaka kudhani, anyway ni mitazamo yenu lakini ikifika wakati ambapo unadhani kuokoa wengi ni kutosa wachache nje ya jahazi ni wakati huu sasa.

Ukiona jahazi linataka kuzama na baharia anakutazama ujue anataka kukwambia kuokoka ni kutosa mizigo, na jahazi la Tanzania linazama na wakati wa kutosa wazamishaji ni Leo na si kesho

Kama jahazi unalozungumzia ni "MV Maendeleo" linalotupeleka Tanzania yenye neema basi umeshindwa kutambua wakutoswa ili jahazi lisizame. . Ni sawa na kuwatosa abiria ili kuokoa mizigo!

Tafakari!
 
Kama jahazi unalozungumzia ni "MV Maendeleo" linalotupeleka Tanzania yenye neema basi umeshindwa kutambua wakutoswa ili jahazi lisizame. . Ni sawa na kuwatosa abiria ili kuokoa mizigo!

Tafakari!

hoja yangu ya msingi ni kuwazuia watajwa hapo juu kuyumbisha serikali kwa namna yeyote lakini namna njema ni kuwapeleka uhamishoni ili taifa litulie kwani kila wakati peoples poweeeeeeeeeer zinasababisha viongozi wa serikali kutoshiriki katika shughuli za maendeleo na kubaki wakizima hoja na kashfa zinazotajwa na watu hawa. wewe unadhani akina slaa, zitto, shivji na pengo wanaliyumbisha kiasi gani taifa letu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom