VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ulicheka au ulicheka cheka huko ukokwenda siyo kuzuri sana kwa hii tabia yako ya kucheka cheka jk kafanya jambo sahihi kwa sasa nyarandu anafanya makubwa kupambana na wale wote wahujumu wa mali za umma.hata mimi nilicheka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ma ccm wezi tuu hakuna kutumikia wananchi!Unataja majina wa watu bila hata sababu jiangali wewe wenzako wako kazini kutumikia taifa wewe umekaa kutaja taja tu.
Ulicheka au ulicheka cheka huko ukokwenda siyo kuzuri sana kwa hii tabia yako ya kucheka cheka jk kafanya jambo sahihi kwa sasa nyarandu anafanya makubwa kupambana na wale wote wahujumu wa mali za umma.