JK awakuna viongozi wa dini katiba mpya

JK awakuna viongozi wa dini katiba mpya

Yes, Vina MRENGO wa KIDINI lakini haviashirii kufuata MALENGO YA DINI kama Lazima UBEBE BIBLE kwenda OFISINI au QRAN kabla hajaingia ndani ya OFISI zenu lazima MZIONYESHE...

Au, Mashuleni kila Asubuhi lazima sala iwe ya DINI FULANI... ndio ninayoyasema...
Sasa hapa sijui hoja yako ni ipi.

Unadai vina mlengo wa kidini halafu unaji contradict kwa kudai havifuati malengo ya dini.

MLENGO = MALENGO.

Hivi vyama siyo kwamba vinatenda malengo hayo kwa kufuata Upepo wa kisiasa bali viko ingrained with religious belief. Hii belief huwa haibadilishwi bali inawabadilisha wanachama wake.

Mfano, Kumuona/ kuolewa na King/ Queen blood related lazima uwe unafuata dini hiyo kwa maana nyingine, kuwa kiongozi wa nchi lazima awe active follower wa hiyo dini.

Vyama vinaweza vikawa na MAJINA hayo lakini sio VYA KIDINI; Ukimwangalia CHANCELLOR ANGELA MERKEL anahudhuria kanisani wakati wa SHEREHE TUU... kama vile X-MAS kwa kifupi sio MDINi aliyebobea... ni Mwanasiasa aliyebobea...
Jina la chama ni kitambulisho cha chama ambalo kinabeba mara nyingi motto wa chama. Huwezi kuita NAZI party, Socialist party, Democratic party, Labour Party n.k bila kuwa firmly attached or emenate from such belief and mantle.

Ni uongo pia kudai kuwa Angela Merkel siyo mfuasi wa dini wakati historia inabainisha vinginevyo kama hii article inavyosomeka,
In Templin that day—Aug. 13, 1961—Merkel’s mother cried in church while her father, the pastor in the local Lutheran congregation, held the Sunday sermon. “Everybody was stunned,” Merkel says. “That was my first memory of political events.” Time magazine’s cover the next week.
Angela Merkel's Early Years in East Germany Shaped Her Crisis Politics - Businessweek
Na kwao ni hivyo sababu vilianzishwa zamani hauwezi ukaanzisha CHAMA ukapata wanachama kama tunavyofanya BONGO... same as what's happening in the USA...

So be careful when you try to relate those countries with their religion...

Kabla ya kujaribu kubishana JARIBU kusoma MAJARIDA ya HISTORIA za VYAMA VYAO ni fupi na Una INTERNET... It will brighten you UP
Huwezi kuondoa imani za dini na mwenendo wa serikali na vyama katika nchi kama hizo nilizozitaja na vile vile huwezi kuiondoa dini ndani ya siasa kama ilivyo imani ya dini na mwenendo wa kisiasa.

Hizi ndizo nchi ambazo ni model wa misingi ya demokrasia tunayoifuata kwa sasa nchini.
 
Bila vitisho vya jangwani muafaka ungepatikana? Rejea kauli za Mawaziri.
 
Kila nchi na utaratibu wake kuna nchi zingine hazina katiba. Tunaitaji watu wajifunze kwetu maadili yetu na utamaduni na kuheshimu viongozi wa dini.

Umeona Makosa yako? Ulisha ni-judge as if I'm among those who does not appreciate RELIGIOUS LEADERS; Na Sio hivyo hata kidogo - ni kuwa wasiweke kanuni zao ndani ya katiba; katiba ni ya Wananchi huru wasio fungamana na dini yoyote wakitaka hizo dini wanakwenda kwenye hizo NYUMBA za DINI

As long as KATIBA inasema kuna UHURU wa kuabudu that's all... na hapo hapo inasema hakuna UBAGUZI wa KIDINI
 
Kila nchi na utaratibu wake kuna nchi zingine hazina katiba. Tunaitaji watu wajifunze kwetu maadili yetu na utamaduni na kuheshimu viongozi wa dini.

VIPI Saud Arabia Kuwait Oman to name the few... Katiba zao zikoje? zinaruhusu ujenzi wa Kanisa au kuabudi kikristo?
 
Back
Top Bottom