jk atimiza miaka sita kama rais?!

jk atimiza miaka sita kama rais?!

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,054
Reaction score
170
baada ya misukosuko mingi,maandamano ya kumtaka ajiuzulu,mfumuko wa bei na hali mbaya ya uchumi.hatimaye mkulu anatimiza mwaka mmoja wa ngwe ya pili ya uongozi wake.
 
with nothing to show for it. What a shame!

...a huge number of expensive suits and unnecessary trips all over the World....What a shame to have the so called "chaguo la Mungu" as a President of our beloved country.
 
baado ataendelea na majukumu yake ya maisha mabaya zaidi kwa kila mtanganyika
 
lakini anaonekana kutulia zaidi.mvi nyingi zina busara.
 
Back
Top Bottom