JK na Kipenka ahh wanapatana sana...baada muda kidogo tu utasikia Dr Twalib!au Prof Juma!!
Hapo mkuu umenenaTupe sababu?? Means test ni ipi? To me ngoja nione ni kesi ngapi walihukumu zikapigwa chini Court of appeal. To me this could be a best measure to test their competence to what you have termed -"they truly deserve" -to use your words. Kama katika kesi kumi ulizozihukumu over 50% were overturned in the appeal, then ???????
Huu ni uteuzi uliotangazwa muda mfupi uliopita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateuaMajaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
Walioteuliwani Jaji Semistodes S. Kaijage na Jaji Kipenka M. Musa na kwa mujibu wataarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Mei 21, 2012 na Katibu Mkuu Kiongozi, BaloziOmbeni Y. Sefue, uteuzi wao ulianza tokea Machi 15, mwaka huu, 2012.
Kablaya kuteuliwa kwake kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji Kaijage (57) alikuwa Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Dares Salaam tangu Mei 17, 2007. Aliteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu Novemba 28,mwaka 2000.
NayeJaji Musa (57) alikuwa JajiMfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Tanga kabla ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakamaya Rufani. Piaamewahi kuwa Wakili wa Serikali, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba. Aliteuliwa kuwa Jajiwa Mahakama Kuu Septemba 13, 2004.
..Mwisho ..
Imetolewa na:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dares Salaam.
21 Mei, 2012
NB: Wateule wote hawa wamebakisha miaka mitatu kabla ya kustaafu
Majaji wanastaafu na miaka 65, hawa wa Rufani.
Hivyo wana miaka 8 bado kazini.
FJM hapo kwenye wekundu napapenda hasa nikikumbuka mchakato wa kule Kenya katika kuwapata majaji wa mahakama zao na pia mchakato unaoendelea sasa hivi wa vetting ya majaji. Lakini sasa nikiangalia waliopewa kuusimamia huu mchakato wataruhusu kweli hili litokee Tanzania? Wakubwa wale wamekuwa sehemu ya judiciary sijui kama watapenda hukumu zipitiwe kwenye mchakato wa kuwapata majaji!Chini ya katiba mpya watatakiwa kuomba kazi upya na interview itafanyika LIVE. Hivyo wana miaka 2 na nusu. Pia muhimu wakati wa interview, watakumbana na hukumu zao za zamani, yule wa aliyetoa hukumu ya Lema aanze kujenga mabanda ya kufugia kuku, hana kazi baada ya katiba mpya.
NB: Rais karudi leo nchini na Press imetolewa leo 21 May. Ina maana huu uteuzi ameufanyia kwenye ndege?
Katiba!. Tungekuwa na utaratibu wa kulitaka bunge liwdhibitishe watu kama hawa tungepata watu walio huru zaidi. Hebu fikiria mmoja kati ya hawa waliotangazwa leo anapangiwa kuwa kwenye jopo la kusikiliza Rufaa ya Lema, unadhani ata side na nani kati ya IKULU na LEMA?.