JK atatoa zawadi ya mwaka mpya 2012?

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Wakati tunaingia mwaka 2011 raisi ambae serikali yake imedolola sana alitoa zawadi kwa wananchi wake kwa kutekeleza sera ya chama cha CDM kwa kukubali mchakato wa kupata katiba mpya.
Je, mwaka mpya 2012 atatoa zawadi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…