Jk atapimwa utawala bora kwa kumfukuza kazi kibosile wa daily news | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk atapimwa utawala bora kwa kumfukuza kazi kibosile wa daily news

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Sep 25, 2010.

?

JK KIMYA CHAKE JUU YA KIBOSILE WA DAILY NEWS KWA ASHIRIA NINI?

 1. *

  MAJI YAMEMFIKA SHINGONI HATA BUA ATAKAMATA

  57.1%
 2. AFANYE NINI HUKU ANAJIANDAA NA HOTUBA YA KUMKABIDHI DR. SLAA NCHI

  42.9%
 3. HATAKI KUINGILIA UHURU WA TUME YA UCHAGUZI

  0 vote(s)
  0.0%
 4. YEYE NI MGOMBEA TU KAMA WALIVYO WAGOMBEA WENGINE

  0 vote(s)
  0.0%
 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,656
  Trophy Points: 280
  JE JK ALIMTUMA KIBOSILE WA DAILY NEWS KUBEZA SHERIA YA UCHAGUZI?

  Kutoka TAZANIA DAIMA ambayo nakala yake imeambatanishwa na ninamnukuu Dr. Slaa:-

  “Akizungumzia tahariri hiyo wakati akihutubia mkutano wa kampeni katika eneo la Hedaru wilayani Same jana, Dk. Slaa alieleza kusikitishwa na hatua ya mhariri huyo ambaye kwa sasa anakaimu wadhifa wa Kaimu Mhariri Mtendaji, Mkumbwa Ali, kuandika tahariri potofu katika gazeti la serikali ambayo ina mwelekeo wa wazi wa kukipendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete.
  Dk. Slaa alisema hatua hiyo ya Mkumbwa anayelipwa mshahara wake kwa kutumia kodi za wananchi wote alikuwa ameyatumia vibaya madaraka yake ya uhariri na akaitaka serikali kumwajibisha mara moja kwa kosa hilo.
  “Mhariri huyo hakupaswa kuandika kile alichokiandika huku akijua kuwa analipwa mshahara kwa fedha za kodi za Watanzania wote. Naitaka serikali imwajibishe mara moja na kama haitamwajibisha basi ajue siku zake zinahesabika kama zinavyohesabika siku za rais wake, Jakaya Kikwete…kwa sababu nguvu ya dola haitaweza kuishinda nguvu ya umma wa Watanzania walioamua kunichagua Oktoba 31 mwaka huu,” alisema Dk. Slaa na kushangiliwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa wakimsikiliza.
  Akifafanua, Dk Slaa alisema kilichoandikwa katika gazeti hilo la serikali ambalo kiitifaki mhariri mtendaji wake mkuu (Editor in Chief) ni Rais kinaonyesha kwamba iwapo yeye (Dk. Slaa) atashinda katika kinyang’anyiro hicho cha urais, basi hatapewa fursa ya kuongoza wananchi watakaomchagua.
  Awali, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akizungumzia suala hilo, alimtaka mhariri huyo kujiuzulu wadhifa wake mara moja kwa kosa la kutumia madaraka yake vibaya na kulitumia gazeti hilo la serikali kwa maslahi ya CCM.
  “Daily News isitumike kuwagombanisha Watanzania katika itikadi za vyama, Watanzania ni wamoja. Nataka ajiuzulu na serikali imuwajibishe mhariri huyu haraka kwa kuondolewa katika nafasi hiyo kwani amewadhalilisha sana Watanzania,” alisema Mbowe.”

  Mwisho wa kuwanukuu.
  Kutoka Daily News NUKUU YA WIKI NI:-


  “The road will not pass through the conservation area in the first place and all precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected,” President Kikwete explained.” NUKUU YA WIKI.

  KAMA KWELI BARABARA HIIHAIPITI SERENGETI KUNA UHAJA GANI WA KUCHUKUA TAHADHARI YA KULINDA WANYAMAPORI?

  Habari hii imeambatanishwa yote soma hapo chini.

  Enable Javascript to correctly view this page. ​
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  HABARI MPYA
  [​IMG]
  LA JANA
  [​IMG]
  MATANGAZO
  [​IMG]
  BEI ZETU
  [​IMG]
  WASILIANA NASI
  [​IMG]
  TUMA HABARI
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  ijumaa, 24 septemba 2010

  Yaliyopita​
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 2010 2009 2008 2007 2006 ​
  [​IMG]

  Pekua Tovuti​

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG][​IMG][​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]Slaa atibuliwa nyongo
  • Wawataka wananchi Same kutomchagua Mathayo

  na Janet Josiah


  [​IMG]
  HATUA ya Mhariri wa gazeti la kila siku la serikali linalochapishwa kwa lugha ya Kingereza la Daily News kuandika tahariri inayoonekana kuingilia uhuru wa kupiga kura kwa kutangaza matokeo ya uchaguzi kabla ya wakati wake, kimewashtua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, na mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe.
  Mhariri huyo katika tahariri yake iliyochapishwa katika toleo la jana la gazeti hilo aliandika, Dk. Slaa hawezi kuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania na kwamba alikuwa akitarajiwa kuambulia kura chache kama zile alizopata aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi mwaka 1995, Augustine Mrema.
  Tahariri hiyo ilikuwa na maudhui yanayoonyesha jinsi mhariri huyo wa serikali, alivyokerwa na habari ya gazeti moja la kila wiki, iliyotoa matokeo ya kura ya maoni kutoka kwenye mitandao ya kompyuta, yaliyokuwa yakionyesha kuwa Dk. Slaa alikuwa akiongozwa kwa kuungwa mkono na asilimia 76 ya Watanzania waliopiga kura kupitia mtandao huo.
  Mbali ya hilo, mhariri huyo wa Daily News alionyesha kukerwa pia na hatua ya gazeti hilo kunukuu matokeo mengine ya kura za maoni kupitia mtandaoni yaliyofanywa kupitia tovuti inayomilikiwa na gazeti hilo hilo la serikali ambazo pia zilionyesha kuwa Dk. Slaa alikuwa akiongoza kwa kuungwa mkono. Hata hivyo gazeti hilo lilishayaondoa mtandaoni matokeo hayo.
  Akizungumzia tahariri hiyo wakati akihutubia mkutano wa kampeni katika eneo la Hedaru wilayani Same jana, Dk. Slaa alieleza kusikitishwa na hatua ya mhariri huyo ambaye kwa sasa anakaimu wadhifa wa Kaimu Mhariri Mtendaji, Mkumbwa Ali, kuandika tahariri potofu katika gazeti la serikali ambayo ina mwelekeo wa wazi wa kukipendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete.
  Dk. Slaa alisema hatua hiyo ya Mkumbwa anayelipwa mshahara wake kwa kutumia kodi za wananchi wote alikuwa ameyatumia vibaya madaraka yake ya uhariri na akaitaka serikali kumwajibisha mara moja kwa kosa hilo.
  “Mhariri huyo hakupaswa kuandika kile alichokiandika huku akijua kuwa analipwa mshahara kwa fedha za kodi za Watanzania wote. Naitaka serikali imwajibishe mara moja na kama haitamwajibisha basi ajue siku zake zinahesabika kama zinavyohesabika siku za rais wake, Jakaya Kikwete…kwa sababu nguvu ya dola haitaweza kuishinda nguvu ya umma wa Watanzania walioamua kunichagua Oktoba 31 mwaka huu,” alisema Dk. Slaa na kushangiliwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa wakimsikiliza.
  Akifafanua, Dk Slaa alisema kilichoandikwa katika gazeti hilo la serikali ambalo kiitifaki mhariri mtendaji wake mkuu (Editor in Chief) ni Rais kinaonyesha kwamba iwapo yeye (Dk. Slaa) atashinda katika kinyang’anyiro hicho cha urais, basi hatapewa fursa ya kuongoza wananchi watakaomchagua.
  Awali, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akizungumzia suala hilo, alimtaka mhariri huyo kujiuzulu wadhifa wake mara moja kwa kosa la kutumia madaraka yake vibaya na kulitumia gazeti hilo la serikali kwa maslahi ya CCM.
  “Daily News isitumike kuwagombanisha Watanzania katika itikadi za vyama, Watanzania ni wamoja. Nataka ajiuzulu na serikali imuwajibishe mhariri huyu haraka kwa kuondolewa katika nafasi hiyo kwani amewadhalilisha sana Watanzania,” alisema Mbowe.
  Katika hatua nyingine, akihutubia mkutano huo huo, Dk. Slaa alieleza kusikitishwa na hatua ya Mkuu wa wilaya ya Same, Ibrahim Marwa kufika katika eneo hilo na kukaa eneo la wasikilizaji wa kawaida badala ya kupanda jukwaani walikokuwa viongozi wa juu wa CHADEMA kwa walivyopata kufanya viongozi wenzake wa kiserikali katika maeneo mengine.
  Akizungumzia kitendo hicho, Dk.Slaa alisema amesikitishwa sana na hatua hiyo ya Marwa ambaye alimtaja kuwa ni rafiki yake cha kuonyesha ubaguzi kwa chama hicho kwani katika hali ya kawaida asingeacha kukaa jukwaani iwapo mkutano huo ungekuwa ni wa mgombea urais wa CCM.
  “DC Marwa umekaa chini sisi tumekaa juu…nimesikitishwa sana na kitendo ulichokifanya. Sasa nategemea na rais wako atakapofika ukae chini kama ulivyofanya leo na usipofanya hivyo, nitakufa na wewe. Sikudhani kama ungefanya hivyo maana wewe ni rafiki yangu lakini umenisikitisha sana.”
  Akiwa katika jimbo la Same Magharibi, Dk. Slaa aliwataka wakazi wa jimbo hilo kutomchagua tena mbunge anayemaliza muda wake, Mathayo David, kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake mbalimbali ikiwemo huduma ya maji kwa wakazi wa jimbo hilo.
  “Nimeambiwa Mathayo David anapita na kuwagawia rushwa ya mabati na sh elfu hamsini hamsini. Huko si kuwasaidia ….hajawafanyia chochote cha maana watu wa Hedaru. Hata huduma ya maji ameshindwa. Rushwa ya mabati na pesa sio suluhisho la matatizo ya watu wa Same waliopigika. Tutafanya mabadiliko katika jimbo hili, nipeni mbunge nifanye naye kazi, tubadilishe maisha ya watu wa Same,” alisema Dk. Slaa na kushangiliwa.
  Akiwa katika wilaya za Mwanga na Same jana, Dk. Slaa alifanya mikutano 10 ya akitumia helikopta.

  [​IMG]

  juu[​IMG] [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  Habari Mpya | Matangazo | Bei zetu | Wasiliana nasi | Tuma habari | Webmaster
  Copyright 2010 © FreeMedia Ltd. ​
  Wasomaji
  [​IMG]
  © free media limited 2010
  mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
  simu +255-22-2126233 • faksi +255-22-2126234 • selula 0713 296570
  “The road will not pass through the conservation area in the first place and all precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected,” President Kikwete explained.” NUKUU YA WIKI.

  KAMA KWELI BARABARA HIIHAIPITI SERENGETI KUNA UHAJA GANI WA KUCHUKUA TAHADHARI YA KULINDA WANYAMAPORI?
  [​IMG]
  Subscribe
  | Mobile
  | RSS Feed


  BLOG
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]
  Search ​
  A value is required.


  Saturday January 01, 2005
  Local News

  Kikwete: Road project to go on

  More News

  · Kikwete: Road project to go on
  · HIV infection rate doubles in three regions
  · Fish prices skyrocket in Mwanza
  · Canada, Ireland pledge more support for ‘Food for Education ‘ programme
  · Dar es Salaam police save ‘bajaj’ from robbery
  · Registration for midwives, herbalists launched
  · Boy drowns in pond in Dar es Salaam
  · Massive power plan in offing
  · Cyber crime experts for South Korea
  · Mkapa to head UN team for Sudan poll
  · Team to study Serengeti road
  · Ban on traditional medicinemen lifted
  · Primary school capitation grant to be raised
  · Fuel tanker burnt at petrol station
  · Natepe laid to rest
  · Tanzania in top 10 youngest people list
  · 40bn USD pledged to save women
  · Abdallah Said Natepe is dead
  · 64 per cent blood screened against WHO protocol
  · TTCL mulls switching to new satellite  DAILY NEWS Reporter, Ngorongoro, 24th September 2010 @ 22:00, Total Comments: 0, Hits: 103

  THE Union CCM presidential candidate, President Jakaya Kikwete has said that construction of road from Mto wa Mbu in Arusha to Mugumu town in Mara region will not disturb the eco-system of Ngorongoro Conservation Area.

  Addressing residents of Loliondo in Ngorongoro district, Arusha region, at the ongoing election campaign rallies on Friday, the candidate said the project had taken into consideration all necessary precautions regarding environmental conservation.

  “The road will not pass through the conservation area in the first place and all precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected,” President Kikwete explained.

  The candidate was responding to voices raised by activists who have been opposing the idea of road construction to connect the two destinations, fearing that the project would scare animals and make them run away.

  “Serengeti will not die and the project will not cause any destruction. The project has both social and economic advantages, bearing in mind that Arusha and Mara are the only two neighbouring regions without a tarmac road connecting them,” he stated.

  In the recent past activists have raised concern and opposed construction of the road from Mto wa Mbu area through Ngarasero to Mugumu area in Mara region. The residents and activists were assured of the balanced approach in the implementation of the project, while it would not interfere with the wildlife conservation management.

  The government has also formed a task force that will advise the president over the construction of Musoma Arusha road through Serengeti National Park, following various views of both local and international organizations.

  According to the Permanent Secretary in the Ministry of Tourism and Natural Resources Dr Ladislaus Komba, the task force will report directly to the president. The government has for time to time dismissed growing fears by both local and international groups opposing the project, that it will interfere with the Serengeti eco-system.

  The construction of the road connecting Arusha-Musoma regions will not disturb the popular annual wildlife migration as claimed by the campaigners. Also Environmental Impact Assessment (EIA) showed that the project was feasible before it was included in the government’s 10 years Transport Sector Improvement Programme (TSIP).

  Commenting on rural electrification project, Mr Kikwete said Loliondo and other surrounding villages in Ngorongoro district would be supplied with power in the next few years, as contractor for the project had been identified.

  After Loliondo the candidate proceeded to Mugumu to continue with campaign rallies in Mara region. He was expected to address residents of Mugumu, Shirati, Ingri Juu, Utegi and Tarime township on Friday.


  Send your Comments

  First name :​

  Last Name:​

  Email:​

  Your comment:​


  Total Comments on the above stories (0)


  ADVERTISEMENT​
  Contacts:​
  TSN Daily News building, Samora Avenue, Plot No. 7, P.O.Box 9033, Dar es Salaam, Tanzania.​
  E-mail: me@dailynews-tsn.com, newsdesk@dailynews-tsn.com; webmaster@dailynews.co.tz; Telephone: +255222110595, Fax: +255222135239 0r +255222112881 ​
  All rights preserved, Copyright © 2009 Daily News Media Group​


  [​IMG]
  [​IMG]

   
Loading...